Printer yao inachapishaga form nyingi kila baada ya miaka kumi, na moja kila baada ya miaka mitano...sasa sijajua mara ya mwisho ilichapisha ngapi?...kama ilikua moja basi next ni nyingi,na kama zilikua nyingi basi inayofuata ni moja tuu...
Ndugai aliisha mchapa bakora mpinzani kwa hiyo kisha poteza sifa ya kuwa rais na jemedari mkuu.
Pili ana fikra za Tanzania kuwa na rais wa maisha kama alvyosema alipikua spika
Tatu hana afya