Je, Spika Ndugai asaidiwe kisaikolojia au aachwe?

Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika.

Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini watu walimuheshimu Samwel Sitta na kuheshimu Bunge la tisa la Samwel Sitta.

Ndugai amejitahidi kulia na kubembeleza kwa wabunge kuwa naye atajitahidi kuandika mambo aliyoyafanya ili watu wamuelewe, Je mbona Samwel Sitta hajaandika popote legacy yake lakini anakumbukwa.

Ndugai ni moja ya Spika atakaye Kumbukwa kwa maovu na ukatili wa hali ya juu kinyume na mwanadamu wa kawaida.

Ndugai asipojirekebisha ataunganishwa na mwendazake kama watu walioharibu Uchumi wa nchi mpaka kufika ukuaji wa asilimia 4% ambao watu wengi wamepoteza ajira.

Ndugai atakumbukwa kama mtu asiyekuwa na busara na Hekima kwa maamuzi yake yaliyoharibu Taifa.

Maamuzi ya kupitisha sheria uchwara kama za uhujumu Uchumi ili kumfurahisha mwendazake, Bila aibu Ndugai anashawishi sheria hizi sasa ziletwe Bungeni tena baada ya kuona upepo umekaa hovyo.

Ndugai ameshiriki kupitisha sheria za mifuko ya jamii kandamizi ili kuwaumiza wastaafu, Mifuko ya jamii iliunganishwa na pesa kufilisiwa kwa kisingizio zinajenga miradi, Leo Mama Samia anapata wakati mgumu sana.

Ndugai atakumbukwa kama mtu aliyegeuza Bunge genge la watu wasiojielewa ambao kazi yake imekuwa kuzurula na mwendazake kila kona wakati wa kuzindua miradi, Ndugai alipokea maagizo hata ya kuwanyima stahiki zake wabunge kama Tundu Lissu.

Ndugai Leo amepoteza muda kujibu hoja za Nape kwa aibu kubwa, Ndugai bado haamini kama Mwendazake hayupo alishatangulia, Nina uhakika kauli ya Nape kuwa wabunge wale 19 na chadema wapo pale sio kihalali angetamka wakati ule Ndugai angemfukuza Nape Bungeni ili kumfurahisha Mwendazake.

Hawa ni viongozi wa kitaifa lakini mwisho wa siku wataandikwa kwenye historia kama moja ya watu pekee kutokea Tanzania walioendesha nchi kama gari bovu isiyokuwa na sheria, kanuni na taratibu.

Hakika Ndugai atatumia muda mwingi kutetea legacy yake huku akisahau legacy inajitetea yenyewe.

Pole Sana Mheshimiwa Ndugai, Tafuta mwalimu wa Saikolojia aliyekufunza ukatili hayupo tena.
Hasira za Halima kuwa bungeni huku mbowe akiwa nje ya bunge ni mbaya sana- mmeamua kufa na Ndugai
 
Sijui kama mwana sheria mkuu wa serikali ana fanya kazi yake sahihi hapo bungeni
Angekuwa ana mshauri Ndugai kuhusu sheria za nchi na utii wa katiba, Ndugai hange fanya huu uharo anao fanya
Kwa kifupi huyu mwanasheria anaingia kwenye kundi la covid.
Nashauri kabla Mh Rais hajachukua hatua ya kuingilia kati huu mgogoro kati ya bunge na Chadema, aondoke kwanza na mwanasheria wa serikali.
Mwanasheria aliyemdanganya mama akatutangazia siku za maombolezo za uongo sina ham naye kabisa
 
Hili ndilo tatizo la kuwazia kupitia mlango wa fahamu wa nyuma.
Yaan ww unaona kawaida tu watu 19 ambao hawana sifa ya ubunge kulipwa tsh 11 per month. Kwa nn hizo pesa zisisaidie wahitaji ? Bora zinunue madawa wagonjwa wapate kupona.

Huo sasa ni wivu wa maendeleo tu
Katika pesa zote za Tanzania ww Umeona hizo za watu 19 tu ndio za kununua madawa?
 
Tatizo alilokuwa nalo Magufuli dhidi ya Cdm, ndio tatizo alilo nalo Ndugai. Kibaya zaidi Ndugai alilazimisha kuwa na chuki sawa na ya Magufuli dhidi ya Cdm. Hivyo Magufuli amefariki kamuacha Ndugai tayari akiwa na urahibu mkali dhidi ya Cdm. Na hakuna namna Ndugai ataacha kuitaja cdm kwa namna hasi, kwani ameshaathirika na uwepo wa cdm. Na Ndugai anaamini ubora wa spika ni kukomoa wapinzani, na sio kuendesha mijadala ya Muhimili wa bunge iwe na tija kwa taifa. Ili Ndugai akae sawa ni kutolewa kwenye hicho cheo, maana ameiga kiburi cha madaraka cha Magufuli, wakati kwa sasa zama hizo hazipo.

20210331_215539.jpg
 
Hata Kama anajua, bado anapangiwa namna ya kufanyia kazi anachojua na wasiojua. Kwahiyo ajuacho ni useless.

Ndio shida yako ww sasa
Yan kama mtu hana mawazo kama yako basi anakuwa anapangiwa

So Lisu na Mbowe wanapangiwa na nani?
 
Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika.

Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini watu walimuheshimu Samwel Sitta na kuheshimu Bunge la tisa la Samwel Sitta.

Ndugai amejitahidi kulia na kubembeleza kwa wabunge kuwa naye atajitahidi kuandika mambo aliyoyafanya ili watu wamuelewe, Je mbona Samwel Sitta hajaandika popote legacy yake lakini anakumbukwa.

Ndugai ni moja ya Spika atakaye Kumbukwa kwa maovu na ukatili wa hali ya juu kinyume na mwanadamu wa kawaida.

Ndugai asipojirekebisha ataunganishwa na mwendazake kama watu walioharibu Uchumi wa nchi mpaka kufika ukuaji wa asilimia 4% ambao watu wengi wamepoteza ajira.

Ndugai atakumbukwa kama mtu asiyekuwa na busara na Hekima kwa maamuzi yake yaliyoharibu Taifa.

Maamuzi ya kupitisha sheria uchwara kama za uhujumu Uchumi ili kumfurahisha mwendazake, Bila aibu Ndugai anashawishi sheria hizi sasa ziletwe Bungeni tena baada ya kuona upepo umekaa hovyo.

Ndugai ameshiriki kupitisha sheria za mifuko ya jamii kandamizi ili kuwaumiza wastaafu, Mifuko ya jamii iliunganishwa na pesa kufilisiwa kwa kisingizio zinajenga miradi, Leo Mama Samia anapata wakati mgumu sana.

Ndugai atakumbukwa kama mtu aliyegeuza Bunge genge la watu wasiojielewa ambao kazi yake imekuwa kuzurula na mwendazake kila kona wakati wa kuzindua miradi, Ndugai alipokea maagizo hata ya kuwanyima stahiki zake wabunge kama Tundu Lissu.

Ndugai Leo amepoteza muda kujibu hoja za Nape kwa aibu kubwa, Ndugai bado haamini kama Mwendazake hayupo alishatangulia, Nina uhakika kauli ya Nape kuwa wabunge wale 19 na chadema wapo pale sio kihalali angetamka wakati ule Ndugai angemfukuza Nape Bungeni ili kumfurahisha Mwendazake.

Hawa ni viongozi wa kitaifa lakini mwisho wa siku wataandikwa kwenye historia kama moja ya watu pekee kutokea Tanzania walioendesha nchi kama gari bovu isiyokuwa na sheria, kanuni na taratibu.

Hakika Ndugai atatumia muda mwingi kutetea legacy yake huku akisahau legacy inajitetea yenyewe.

Pole Sana Mheshimiwa Ndugai, Tafuta mwalimu wa Saikolojia aliyekufunza ukatili hayupo tena.
Ni mambo matatu tu.
1. Katibu mkuu wenu aandike barua nzuri ya kueleza kwa nini wabunge wafukuzwe.
2. Barua hiyo iambatishwe na katiba yenu yenye kueleza kifungu gani wabunge hao wamekiuka.
3. Ambatisho la muhtasari wa kikao cha juu chenue mamlaka ya kuwafukuza wabunge hao.
Simple.
 
Ndio shida yako ww sasa
Yan kama mtu hana mawazo kama yako basi anakuwa anapangiwa

So Lisu na Mbowe wanapangiwa na nani?

Hapo ni suala la kisheria, na sio mtu anawaza nini. Kama sheria iko wazi na haifuatwi, hapo kuna mwanasheria au sanamu la mwanasheria bungeni?
 
Sheria inasema, chadema wapeleke viti maalum swali ni je walipeleka? Na kama hawakupeleka walifuata sheria au walivunja sheria?
 
Uchaguzi ulikuwa ni wa kishenzi kupita maelezo, ni mwendawazimu tu atakayeongelea sheria kwenye uchaguzi wa kihayawani vile.
 
Kama ulikuwa wa kishenzi sasa makelele ya wakina mdee ya nn? Coz nyie hamtambui anything
 
Ndugai ameachiwa mikoba ya uchawi na Magu so lazima aendelee kuloga kulinda ligasi
 
Kama ulikuwa wa kishenzi sasa makelele ya wakina mdee ya nn? Coz nyie hamtambui anything

Unapoona kundi la wezi wakichanganyikana na washenzi, kelele lazima ziwe kama zote.
 
Back
Top Bottom