Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Wakuu habari zenu..
Moja kwa moja kwenye mada,, nimekuwa fan mkubwa wa Suma Mnazaleti kwa muda mrefu tangu katoa wimbo ambao niliupenda sana kwa kipindi kile, na naweza kusema ndio wimbo uliomuweka kwenye peak ya kufahamika kwa kiasi kikubwa ambao alimshirikisha Omary Nyembo almaarufu kama Ommy Dimpoz uitwao Chukua time. Naamini hata wengine humu mliupenda wimbo Ule.
Tangu hapo nilianza kumfatilia kwa ukaribu, hata nyimbo alizotoa baada ya pale niliweza kuzisikiliza na kuzipenda kama vile Agano Jipya akiwa na stamina, tafakari ft mabeste &ben pol, tupo wangapi n.k, n.k.
Sasa kuna huu wimbo ameutoa siku si nyingi unaitwa BOSS KASEMA ambao anaufanyia media tour, aisee hapana kabisa. Ukisikiliza audio bila video unaona kabisa hakuna lolote mule, hata underground hawezi kutoa wimbo wa namna Ile. Mashairi hayajapangika kabisa, kwa msanii kama yeye unategemea ukutane na mistari yenye usanii Na ufundi ndani yake lakini hakuna hicho kitu kabisa. Video tu labda mtu anaweza akavutiwa na Yale makalio ya mademu basi. Kwenye media sasa anavyojivuna ndio nashindwa kuelewa kuwa muziki umeshamlipa na sasa amerelax hataki kuumiza kichwa zaidi au inakuaje..
Asanteni