Umemaliza kilakitu hapa...makampuni yote Tanzania huwa wanachukua maombi Kwa njia ya makaratasi.Haya twende sawa.
Nafasi ya kazi inatangazwa moja, wanafanya maombi watu mia 5 kupitia posta...
Nimenunua vitafunwa Asbh nikapewa kwenye Bahasha hii;Taarifa Binafsi ni maelezo fulani ambayo yanamtambulisha mtu, au kueleza jambo fulani kuhusu maisha yake.
Taarifa Binafsi huweza kuwa majina ya mtu, namba ya simu, mwaka na tarehe ya kuzaliwa, dini, kabila, mahali anapoishi na mengineyo yanayombainisha mtu fulani.
Hizo karatasi ni dili sana zinauzwa Kwa kilo Kwa watengenezaji vifungashio pale mbagala rangi 3 kuna maduka wanauza hizo karatasi Kwa kilogrammes....ni biashara kubwa SanaHiyo tu? Zipo mpaka salary slip zikionesha mpaka mikopo iliyokopwa benki na kiasi cha mshahara anayolipwa. Hizi nyaraka huwa zinatupwa kizembe kwenye madampo ya ofisi hizo baada ya kuonekana hazitumiki tena.
Nishakutana na paper yangu ya Necta Geography nimecalculate mean pale karikooo nilifungiwa kiazi cha kuchomo nikasema eeeeeh bagoshaMmmh nyingine hawachomi zipo mitaani nyingi tu
Ni kweli kabisa nafikiri inahitajika elimu kwa watu hawaKuna watu uwa wanatembelea maofisi mbalimbali wakiwa na pesa mfukoni wakitafuta nyaraka zisizotumika ili wakatengeneze hivyo vifungashio. Sasa hapo utegemea na sera za utunzaji wa nyaraka kwa kila taasisi na kukiwa na mianya basi watu wa masjala uwa ni fursa kwao kufanya biashara na hao watafuta nyaraka kwa bei chee.
Kama hikiMada nzuri