Uchaguzi 2020 Je, taarifa iliyotolewa kwa Umma na Dkt. Mahera wa Tume ya Uchaguzi ni ya uongo?

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,843
Reaction score
31,057
Nimesoma kitu kinachoitwa TAARIFA KWA UMMA iliyotolewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi, iliyosainiwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera, tarehe 27/11/2020, naomba maswali yafuatayo uyajibu Dkt Mahera:-

1. Katika taarifa yako kwa Umma umedai kuwa ulipokea majina hayo ya wabunge wa viti maalum, toka kwa Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, tarehe 19/11/2020, je taarifa hiyo ilikuwaje iwe na jina la Nasrat Hanje, ambaye alitolewa gerezani rumande, usiku wa tarehe 23/11/2020 kwa amri ya DPP, Biswalo Mganga, ambako Jeshi lenu la Polisi lilimbambikia kesi ya kukusanyika bila kibali na kutompa dhamana pasipo halali, ambapo alikaa rumande kwa siku 133?

2. Tunakuomba Mkurugenzi wa uchaguzi, Dkt Mahera uutangazie Ulimwengu "kama ubavu huo utakuwa nao" kuwa kauli tuliyosikia kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa kwenye kikao na waandishi wa habari hapo tarehe 25/11/2020 kuwa form zenu za Tume ya uchaguzi, alikuwa nazo ofisini kwake zikiwa hazijajazwa hata kidogo na kuwa form hizo hazijatumwa kwenye Tume yenu ya uchaguzi, kuwa ilikuwa ni kauli ya uwongo?

3. Iweje Bunge la Jamhuri la Muungano, chini ya Spika wake Job Ndugai na Katibu wake, Kigaigai, wakiuke kanuni zake yenyewe na kuwaapisha "kisiri siri" tena kwenye eneo nje ya Bunge wabunge hao wa viti maalum, wakati kanuni zinawataka ni LAZIMA tendo hilo lifanyike rasmi ndani ya Jengo la Bunge, kwa kuwa tendo hilo siyo la unyago, ambalo lingehitaji usiri mkubwa?

4. Iweje Spika wa Bunge, Job Ndugai anukuliwe kwa kutoa taarifa kuwa Bunge lake litawalinda kwa gharama zozote wabunge hao wa viti maalum wa Chadema, kama ambaye anajua kuwa uapishwaji wao ulikuwa batili?

5. Iweje Mkurugenzi wa uchaguzi Dkt Mahera usitoe taarifa hiyo nyeti mapema, hadi ungojee sakata hilo la wabunge wa viti maalum wa Chadema, li-trend sana kwenye social media na usubiri chama kikuu cha upiinzani nchini Chadema, kiitishe kikao chao cha dharura cha Kamati Kuu ya Chama chao kuwajadili hao ambao mmewahalalisha kuwa wabunge wateule wa viti maalum?

Kama Dkt Mahera amethubutu kutupa taarifa za uongo kuhusiana na suala la kuapishwa kwa wabunge wa viti maalum wa Chadema, tunawezaje kumuamini kwa taarifa aliyotupa ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambayo kwa mujibu wake kuwa Rais Magufuli alipata ushindi wa kishindo wa zaidi ya kura milioni 12 ambayo ni zaidi ya asilimia 84 ya kura zote zilizopigwa nchini?

Naomba hayo maswali machache unijibie Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt Mahera ili kuondoa huu utata mkubwa uliogubika zoezi hili zima la kuwaapisha hao wabunge wa viti maalum wa Chadema.
 
Kwa taarifa hii uliyotoa Dkt Mahera, umetugeuza watanzania wote kuwa ni wajinga, hivi unawezaje kutoa taarifa tarehe 27/11/2020 wakati unajua wazi kuwa mjadala wa wabunge hawa wa viti maalum ulikuwa "so hot" kwenye mitandao yote ya kijamii?

Kila ulipotafutwa Dkt Mahera ili utolee ufafanuzi utata huu wa uteuzi wa wabunge wa viti maalum wa Chadema, ulikuwa ukipiga chenga!

Hadi uliposikia kuwa Kamati Kuu ya Chadema inaenda kukutana ili ifikie maamuzi ya "kuwachinjia baharini" wabunge hao akina Halima Mdee, ndiyo unastuka na kutuletea taarifa hiyo ya uongo kabisa, ambapo hadi mtoto mdogo anayesoma chekechea huwezi mdanganya kirahisi hivyo!
 
Katikati ya nyakati hizi maprofessor na madokta waliomo kwenye mifumo mingi ya Taifa hili wametoa mbongo zao kichwani zmeamia tumboni. Sasa zimebadili functionalities zake!! Haingii akilini Taifa letu viongozi wanatoa maamuz na matamko yanayovunja Katiba na sheria mchana kuepe Bila aibu haiwezekani asilani!! Maamuzi yao yameanza kuharibu mstakabar wa umoja wetu!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
mkulima gwakikolo
Utashangaa kuona kuwa Spika Ndugai atavunja kanuni zilizotungwa na Bunge lake lenyewe, kuwa mbunge akishafukuzwa uanachama na chama kilichomdhamini kuingia Bungeni humo, automatically anakuwa amepoteza nafasi yake ya ubunge, lakini katika suala hili la wabunge wa viti maalum wa Chadema, atajifanya kaweka pamba masikioni na ataendelea kuwakumbatia!

Sasa tumuulize Spika Ndugai kama ataendelea kuwakumbatia wabunge hao, watakuwa ni kutoka chama gani?

Je atakuwa amevunja Katiba ya nchi hii ambayo INALAZIMISHA kuwa sharti mbunge yeyote ndani ya nchi atokane na chama cha siasa?

Kwa kuwa chama wanachotoka wabunge hao cha Chadema, kupitia kikao chao cha Kamati Kuu wameutangazia Umma kuwa wameshawafukuza uanachama wao katika chama hicho
 
Hili la viti maalumu limebuma, ccm ikubali kuwavua ubunge wabunge wake 40 iwape cdm angalau hata robo tu maana waliiba kupitiliza wawatose kina baby tale, mwana FA na wapya wapya wapewe cdm ili column itimie Kama lengo ni kuzipata pesa za mabeberu
 
Wateule wa Nduli Kayafa ni watu wa hivyo kabisa, mnashirikije aibu kubwa namna hii? Sasa happy ndio dhana ya utawala Bora mnapoonyesha dunia kuwa imewashinda.
Kuna wabunge bungeni ambao wameteuliwa na CCM na sio chama chao cha siasa.
Tutaona Kama wazungu Ni mabwege kabisa wawapeni hiyo 1.7 trillion.
Car-body kazi unayo, yaani wizara yako italaumiwa na nchi ikiyumba jamaa atakurusha jela, mbaya zaidi kapigilia msumari wa moto kuwa macho yako ni makubwa Sana, hayatapendeza kwenye ofisi za watu.
 
Why wasiteue toka vyama vingine coz cdm awazitaki nafasi hizo
Papy ndombe
Hii ni pressure kubwa kutoka kwa mabeberu, wanaosema kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki, madai yanayotiwa nguvu na chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema..........

Sasa hao maccm yanataka kujikosha kwa mabeberu ili waendelee kupokea misaada yao kwa kuwaambia hao mabeberu kuwa mbona "tumewazawadia" hizo nafasi 19 za ubunge wa viti maalum wabunge wao wa Chadema?
 
Nimesoma kitu kinachoitwa TAARIFA KWA UMMA iliyotolewa na Tume yako ya Taifa ya uchaguzi, iliyosainiwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera, tarehe 27/11/2020, naomba maswali yafuatayo uyajibu Dkt Mahera

1. Katika taarifa yako kwa Umma umedai kuwa ulipokea majina hayo ya wabunge wa viti maalum, toka kwa Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, tarehe 19/11/2020, je taarifa hiyo ilikuwaje iwe na jina la Nasrat Hanje, ambaye alitolewa gerezani rumande, usiku wa tarehe 23/11/2020 kwa amri ya DPP, Biswalo Mganga, ambako Jeshi lenu la Polisi lilimbambikia kesi ya kukusanyika bila kibali na kutompa dhamana pasipo halali, ambapo alikaa rumande kwa siku 133?

2. Tunakuomba Mkurugenzi wa uchaguzi, Dkt Maheta uutangazie Ulimwengu kuwa kauli tuliyosikia kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa kwenye kikao na waandishi wa habari hapo tarehe 26/11/2020 kuwa form zenu za Tume ya uchaguzi, alikuwa nazo ofisini kwake zikiwa hazijajazwa hata kidogo, kuwa ilikuwa ni kauli ya uwongo?

3. Iweje Bunge la Jamhuri la Muungano, chini ya Spika wake Job Ndugai na Katibu wake, Kigaigai, wakiuke kanuni zake yenyewe na kuwaapisha "kisiri siri" tena kwenye eneo nje ya Bunge wabunge hao wa viti maalum, wakati kanuni zinawataka ni LAZIMA tendo hilo lifanyike rasmi ndani ya Jengo la Bunge?

4. Iweje Spika wa Bunge, Job Ndugai anukuliwe kwa kutoa taarifa kuwa Bunge lake litawalinda kwa gharama zozote wabunge hao wa viti maalum wa Chadema, kama ambaye anajua kuwa uapishwaji wao ulikuwa batili?

5. Iweje Mkurugenzi wa uchaguzi Dkt Mahera usitoe taarifa hiyo nyeti mapema, hadi ungojee chama cha Chadema, kiitishe kikao chao cha dharura cha Kamati Kuu ya Chama chao kuwajadili hao ambao mmewahalalisha kuwa wabunge wateule wa viti maalum?

Naomba hayo maswali machache unijibie Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt Mahera ili kuondoa huu utata mkubwa uliogubika zoezi hili zima la kuwaapisha hao wabunge wa viti maalum wa Chadema.
Pascal Mayalla, johnthebaptist ,YEHODAYA na wasemaji wengine wa LUMUMBA JamiiForums njooni mjibu maswali haya
 
Bujibuji
Wote uliowataja hapo huwezi waona kwenye kujadili mada hii muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa Taifa letu
Pascal Mayalla na mahubiri maarufu wa karma anaona karma inafanya kazi CHADEMA inapowafukuza tu wasaliti. CCM ikiua raia wasio na hatia, ikiwakandamiza wapinzani, ikiwafunga jela kwa makosa ya kusingiwa hiyo karma huwa inakuwa imerudi kwao India. Na huja Tanzania kipindi Chadema ikiwa kwenye kipindi kigumu
 
Nimesoma kitu kinachoitwa TAARIFA KWA UMMA iliyotolewa na Tume yako ya Taifa ya uchaguzi, iliyosainiwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera, tarehe 27/11/2020, naomba maswali yafuatayo uyajibu Dkt Mahera

1. Katika taarifa yako kwa Umma umedai kuwa ulipokea majina hayo ya wabunge wa viti maalum, toka kwa Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, tarehe 19/11/2020, je taarifa hiyo ilikuwaje iwe na jina la Nasrat Hanje, ambaye alitolewa gerezani rumande, usiku wa tarehe 23/11/2020 kwa amri ya DPP, Biswalo Mganga, ambako Jeshi lenu la Polisi lilimbambikia kesi ya kukusanyika bila kibali na kutompa dhamana pasipo halali, ambapo alikaa rumande kwa siku 133?

2. Tunakuomba Mkurugenzi wa uchaguzi, Dkt Maheta uutangazie Ulimwengu kuwa kauli tuliyosikia kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa kwenye kikao na waandishi wa habari hapo tarehe 26/11/2020 kuwa form zenu za Tume ya uchaguzi, alikuwa nazo ofisini kwake zikiwa hazijajazwa hata kidogo, kuwa ilikuwa ni kauli ya uwongo?

3. Iweje Bunge la Jamhuri la Muungano, chini ya Spika wake Job Ndugai na Katibu wake, Kigaigai, wakiuke kanuni zake yenyewe na kuwaapisha "kisiri siri" tena kwenye eneo nje ya Bunge wabunge hao wa viti maalum, wakati kanuni zinawataka ni LAZIMA tendo hilo lifanyike rasmi ndani ya Jengo la Bunge?

4. Iweje Spika wa Bunge, Job Ndugai anukuliwe kwa kutoa taarifa kuwa Bunge lake litawalinda kwa gharama zozote wabunge hao wa viti maalum wa Chadema, kama ambaye anajua kuwa uapishwaji wao ulikuwa batili?

5. Iweje Mkurugenzi wa uchaguzi Dkt Mahera usitoe taarifa hiyo nyeti mapema, hadi ungojee chama cha Chadema, kiitishe kikao chao cha dharura cha Kamati Kuu ya Chama chao kuwajadili hao ambao mmewahalalisha kuwa wabunge wateule wa viti maalum?

Naomba hayo maswali machache unijibie Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt Mahera ili kuondoa huu utata mkubwa uliogubika zoezi hili zima la kuwaapisha hao wabunge wa viti maalum wa Chadema.
Nakupa swali moja upime utajua ni ya kweli au ya uongo. Huyu dada aliyekuwepo magereza chadema ilijua ni lini atatoka ili wamuorodheshe kwenye viti maalum? je ni jitihada za chedema kuwa huyu dada atolewe usiku magereza ili aapishwe asubuhi? sasa waliandikaje jina la mtu ambaye hawajui lini atatoka magereza.
 
Papy ndombe
Hii ni pressure kubwa kutoka kwa mabeberu, wanaosema kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki, madai yanayotiwa nguvu na chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema..........

Sasa hao maccm yanataka kujikosha kwa mabeberu ili waendelee kupokea misaada yao kwa kuwaambia hao mabeberu kuwa mbona "tumewazawadia" hizo nafasi 19 za ubunge wa viti maalum wabunge wao wa Chadema?
Wao si Dona kantri why wategemee pesa za beberu.Hata wakiteua beberu atoi pesa zake,
 
Back
Top Bottom