Uchaguzi 2020 Je, taarifa iliyotolewa kwa Umma na Dkt. Mahera wa Tume ya Uchaguzi ni ya uongo?

Brightg
Swali zuri sana ulilouliza, tunamuomba Dkt Mahera atujibie swali hilo
 
Nchi hii ilipofikia hivi sasa ni kuwa Katiba ya nchi na sheria mbalimbali zote zimepelekwa likizo na badala yake watendaji wote wa serikali WANALAZIMISHWA kutekeleza natakwa ya Jiwe!
 
Kiongozi hawa kujitungia sheria za kutoshtakiwa zilikuwa na kusudio maalumu
 
He will never answer. He is not credible any more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…