Uchaguzi 2020 Je, taarifa iliyotolewa kwa Umma na Dkt. Mahera wa Tume ya Uchaguzi ni ya uongo?

 
Walijua Chadema kwa vile kuna Halima basi hawatachukua maamuzi magumu, Mbowe ni mtu makini sana misukosuko aliyoipata Mbowe ndiyo wangeipata hawa wakina Halima wangeshakiuza chama.
Mbowe ni Mwamba usioyumba
 
Hii nchi imejaa na wavuta bangi watupu...kuanzia bungeni..mahakamani ..mpaka serikali kuu.watu ambao hawaheshimu katiba na utawala wa sheria ni uhuni uhuni tu
Tunakoelekea ni pabaya zaidi tunahitaji mabadiliko ya uongozi haraka iwezekananvyo..eeh mwenyezi mungu tunusuru na hawa wabakaji wa demokrasia yetu!
 
Hakika nchi hii imeingia kwenye laana kubwa sana, kwa viongozi wake kutotaka kabisa kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria nyingine za nchi
 
Msomi wa kitanzania linapokuja suala la tumbo ndio unaweza kuona elimu yetu ni takataka tu.
Mtu mzima, mwili mkubwa, afya nzuri, mcheshi, muelewa lakini anaweza kufanya jambo la kipumbavu mpaka ukaona hakuna maana ya mwanao kwenda shule.
 
Msomi wa kitanzania linapokuja suala la tumbo ndio unaweza kuona elimu yetu ni takataka tu.
Mtu mzima, mwili mkubwa, afya nzuri, mcheshi, muelewa lakini anaweza kufanya jambo la kipumbavu mpaka ukaona hakuna maana ya mwanao kwenda shule.
natoka hapa
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia 100

Hebu jaribu ku-imagine hivi huyo anayeitwa ni Mwanasheria Mkuu wa serikali, Dkt Kilangi, hivi inakuwaje mtu ambaye tunaambiwa ana PhD ya sheria ashindwe kuibaini hii hoja ndogo kabisa, ambayo hata Mimi niliyesoma elimu ya ngumbaru nimeiona?
 
Mbona unajiuliza harafu unajipa majibu mwenyewe, one man show !
 
Halafu Mdee alikamata Kura feki anapokea zawadi ya Ubunge feki. Halima umetuangusha.
 
KAULI ZA WALIOPITA BILA KUPINGWA ..........YANGU MACHO KWENYE LIGI HII..MUNGU NISAIDIE HASIRA YANGU ITUWE KWA SHETWANI....
 
Hili la viti maalumu limebuma, ccm ikubali kuwavua ubunge wabunge wake 40 iwape cdm angalau hata robo tu maana waliiba kupitiliza wawatose kina baby tale, mwana FA na wapya wapya wapewe cdm ili column itimie Kama lengo ni kuzipata pesa za mabeberu
Yaani umtose babu tale,na Fa?,..kama pesa sio lazima tutumie za wazungu,,hawa wanamziki watabaki..
 
Ni aibu kwa serikali ku operate on principles ambazo zina dalili ya forgery.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…