Uchaguzi 2020 Je, taarifa iliyotolewa kwa Umma na Dkt. Mahera wa Tume ya Uchaguzi ni ya uongo?

Angekuwa na account huku tunge mtag atupe majibu, kwavile hana account haya maswai tuulizane wenyewe na tupeane majibu wenyewe maana hakuna namna

kazi na siasa
Hata kama hana account, lakini "wambeya" watamfikishia taarifa
 
Atusaidie kukanusha au kukubali hii taarifa ya ITV.
 
Hata kama hana account, lakini "wambeya" watamfikishia taarifa
Kama hana account humu yenye jina lake basi anayo yenye jina 'feki', kwa kifupi huu uzi keshaupitia wote. Huyu mtu anapata tabu sana wakati akiwa amelala, dhamiri itakuwa inamtesa sana!!
 
Ukisoma taarifa ya Dr. Mahera utashangaa sana, kwenye taauma ya uandishi wa habari, kwa waee waiokaa chumba cha habari, ukiandika habari kama hiyo Mhariri hapitishi atakuita atakwambia hajajitosheeza piga yaani haina 'nyama' aitakiwa atoe majina hayo ayaonyeshe pamoja na hiyo barua anayodai pia. Kwa kufikiria tuu CDM amepeeka fomu za wagombea hiyo angeonyesha hizo fomu tena 19 zimejazwa na mahakimu na saini ya Mnyika kama katibu Mkuu ingejenga hoja hapo. Kusema tuu amepeekewa na barua wakati Nov 8/2020 Mnyika aiidai kuna njama za kuforge saini yake si rahisi hiyo Dr. Mahera akaaminika.

Kwa nini anaogopa kuitisha Press Conference anaandika tuu, anaogopa kuuizwa maswaii hapo na ayajibu kwa kina. Aipitishaje jina mtu yupo mahabusu.
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza naomba na msagaji atujibie haya maswali.
 
CCM Kujinasua katika hili labda wafungue kesi za kupinga matokeo ya baadhi ya majimbo waliyoshinda wao wenyewe halafu wawapitishe wapinzani ili wapate wanachotaka. As long as wapinzani hawaamini vyombo vya dola na hawaezi kufungua kesi hizo, basi hizo Tilion 2 wasahau
 
kuna "shetani " na "ibilisi sasa pima mwenyewe , na wote ni waovu, na hata kumwaga damu hawajali!
 
Wamwite Mrema Lyatonga agustino mzee wa kiraracha, alete COVID-19 wapewe viti maalum, why CHADEMA?
 
kuna "shetani " na "ibilisi sasa pima mwenyewe , na wote ni waovu, na hata kumwaga damu hawajali!
Mtu ambaye hajali kumwaga damu za wanadamu wenzie ambao hawana hatia, tunamuita kuwa shetani
 
Mbona unajiuliza harafu unajipa majibu mwenyewe, one man show !
Vipi kuhusu hoja yenyewe inayoulizwa na kutolewa majibu. Wenzako wanapita kimyakimya, umejitahidi angalau kutoa neno. Watu wamepigwa sindano ya ganzi hawana hoja. Mlisema hamtaki kuchanganyiwa, hayo ndiyo matokeo sasa.
 
Awamu hii Ina vichaa wa Hali ya juu sana , yaani Chadema ambao hawana dola walipeleka Jina la Nusrat Hanje aliyekuwa jela kwa makosa yasiyokuwa na dhamana ? Kama vile wanajua atatoka ? Mkuu Mahera na udokta wake Hana uwezo wa kujibu haya maswali .
 
Kama mpaka leo bado unaamini anachoongea huyu tahira anayeitwa mahera basi tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…