Uchaguzi 2020 Je, taarifa iliyotolewa kwa Umma na Dkt. Mahera wa Tume ya Uchaguzi ni ya uongo?

Hana uwezo wa kujibu. Akijibu atakuwa amevunja na sheria zingine.
 
Mahera eti Mkurugenzi!!!! Hovyooo kabisa huyu. Ameiweka nchi rehani halafu bado ni Mkurugenzi? Mstakiwa mtarajiwa wa ICC, the Hague.
 
Alishasemaga hao ni wabunge halali wasibuguziwe!
MWANASHERIA MKUU katiba yetu inasemaje kuhusu kuapishwa kwa mbunge & mwakilishi?

MWANASHERIA MKUU katiba yetu inasemaje kuhusu mtuhumiwa akiwa rumande Sheria inamruhusu kujaza fomu na kuapa?

MWANASHERIA MKUU katiba yetu inasemaje kuhusu kupatikana kwa mbunge?

MWANASHERIA MKUU katiba yetu inasemaje kuhusu kuapishwa kwa mbunge nje ya ukumbi wa bunge?

MWANASHERIA MKUU katiba yetu inasemaje kuhusu kuhusu haki ya dhamana kwa aliye mahabusu?

MWANASHERIA MKUU,shame on you.
 
Yaani utawala huu wa awamu ya 5 umeamua kuisigina Katiba ya nchi kadri wanavyojisikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…