Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea.
Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme.
=====
UPDATE
======
Ndege za Air Tanzania ziko salama hakuna ajali yoyote.
Ila leo asubuhi, Mamlaka ya viwanja vya ndege Uwanja wa Bukoba waliendesha zoezi la kuonyesha utayari endapo ajali ikitokea. Zoezi hilo ni la kawaida na ufanyika mara kwa mara katika viwanja vingi duniani na ni kati ya taratibu zilizo ndani ya sheria za usafiri wa anga wala halina madhara yoyote.
Poleni kwa taharuki iliyojitokeza.
=====
UPDATES KUTOKA BUKOBA
=====
Taarifa ya Zoezi la Uokoaji wa Ajali ya Ndege Ziwa Victoria.wl Waliojeruhiwa 21, Majeraha makubwa 5 majeraha ya Watani 15 na aliyefariki ni mmoja. Chanzo cha ajali bado hakijafahamika. Haikuwa ajali bali ilikuwa ni Zoezi ya kawaida