Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

Siri kali ambayo inahitaji kuheshimiwa yenyewe ipo bize kuelekeza ustaarabu kwa wengine kwa yenyewe haitaki .

Inasadikika ni kweli
 
Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea.

Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme.
Miaka 60 ya uhuru umeme hakuna?
 
Mungu nusuru hili lile la kawaida.

Back to TANESCO hivi hili shirika tulifanyaje 😕 jana mimi nimelala giza mpaka asubuhi umeme ulikuwa low voltage ya hatari halafu unawaka na kuzima.
 
Miaka 60 ya uhuru umeme hakuna?

Wewe tokea uzaliwe huna ndugu aliyefariki Dunia?

Kama wapo itabidi ujiulize kwanini wanakufa na kama hawapo itabidi uzishangae hizo familia zingine kwanini watu wao wanakufa!
 
Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea.

Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme.
Niko dar hapa ubungo hakuna umeme
 
Mungu nusuru hili lile la kawaida.

Back to TANESCO hivi hili shirika tulifanyaje 😕 jana mimi nimelala giza mpaka asubuhi umeme ulikuwa low voltage ya hatari halafu unawaka na kuzima.
Libinafsishwe
 
Hakuna mwenye habari kamili mpaka sasa, baadala yake topic imehamia kwenye umeme.

Soon utasikia JPM awamu ya tano, awami ya sita mara JM mara CDM na CCM..

Aliyeko Mwanza atupe habari za uhakika...
 
Back
Top Bottom