Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

Hakuna mwenye habari kamili mpaka sasa, baadala yake topic imehamia kwenye umeme.

Soon utasikia JPM awamu ya tano, awami ya sita mara JM mara CDM na CCM..

Aliyeko Mwanza atupe habari za uhakika...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Uslaama ya Mkoa kama kuna hiyo hali yeye ndiye atatoa taarifa
 
Hizi ndege za magufuli zina kasoro nyingi sana nadhani hii ajali iwe ni alarm kwa mamlaka husika kuzifanyia uchunguzi hizi korokoro halafu kwa nini ile ya chief hiyanga haianguki
 
Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea.

Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme.
Hairuhusiwi kusema . Tutanunua nyingine na pesa za TOZO
Acha izame , na usilete taharuki abiria sio wazalendo ni CHADEMA.
MaCCM= Heartless
 
Tukio la ndege kuanguka sio issue ndogo BBC, Al Jazeera, CNN, Reuters, France 24 wangekuwa washa rusha breaking news hapa chap kwa haraka Maana hata tukio la Lori kuwaka Moto pale Morogoro Al Jazeera waliruka nayo fasta within a minutes


Usikute hapo airport ya MWZ wanafanya fire drill Leo Basi ili kuwapa elimu ya majanga ya Moto
 
Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea.

Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme.
Usiwe ukweli jamani.
 
Hii sio kweli.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

Desemba 15, 2021

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaskitika kuwatangazia wateja wake, kuwa kumetokea hitilafu kwenye kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Ubungo leo Desemba 15, 2021 saa 3:18 asubuhi.

Mafundi wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo hilo, kufikia saa 5:00 asubuhi huduma ya umeme itakuwa imerejea maeneo yote.

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza .

Facebook Bei Facebook anmelden

IMETOLEWA NA;
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO MAKAO MAKUU.
 
Back
Top Bottom