nakuunga mguu mkuu haiwezekani ndege ianguke halafu isitangazwe hata kipindi cha yule dikteta wa mortuary wasingefanya hiviTukio la ndege kuanguka sio issue ndogo BBC, Al Jazeera, CNN, Reuters, France 24 wangekuwa washa rusha breaking news hapa chap kwa haraka Maana hata tukio la Lori kuwaka Moto pale Morogoro Al Jazeera waliruka nayo fasta within a minutes
Usikute hapo airport ya MWZ wanafanya fire drill Leo Basi ili kuwapa elimu ya majanga ya Moto