Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Mughonile bhandu ba kyala
Kwanza kabisa niungane na Mbunge baba levo kuwa Kuna kampeni ya kumgeuza mwanaume kuwa adui wa jamii kwenye suala la ndoa nikama vile lawama zote zinabebwa na mwanaume....
Matokeo yake wanaume wanaongezewa stress nzito hivyo kupelekea kuwapoteza mapema zaidi
Reference
Kuna single Maza jana kawatuhumu wanaume kuwa ni matapeli hivyo wanawake wafiche contribution zao kwenye ndoa ....... that's a big mistake... Jambo hili likemewe na wanadini na jamii Kwa ujumla
Nb: Single Maza Wana hasira sana kuona wenzao Wana enjoy kwenye ndoa .....za kuambiwa changanya na zako
...............kazi na utu .....tunasonga mbele