Je, Taddeo Lwanga mwisho wake utakuwa upi?

Mwisho wake kuhusu nini tena jamani😁, kwani amevunjika mguu kwamba hataweza rejea uwanjani hivo arudie professional yake ya software au?

Eleza tukuelewe mkuu😁
 
Aendelee kupambana
Asifate uvivu wa wazawa, atafika mbali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…