Je, Taddeo Lwanga mwisho wake utakuwa upi?

Je, Taddeo Lwanga mwisho wake utakuwa upi?

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
- Anaitwa Thadeo Lwanga

- Ana bachelor degree ya software engineering

Kiungo mkabaji wa klabu ya Simba

Una maoni gani juu ya kiungo msomi huyu

FB_IMG_16141581139245196.jpg
 
Mwisho wake kuhusu nini tena jamani😁, kwani amevunjika mguu kwamba hataweza rejea uwanjani hivo arudie professional yake ya software au?

Eleza tukuelewe mkuu😁
 
Aendelee kupambana
Asifate uvivu wa wazawa, atafika mbali zaidi
 
Back
Top Bottom