kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
πππEnyi vizazi mlkokosa imani, mpaka lini mtaacha kujiangaisha na mambo yasiyowahusu.
Taifa hili mwaka juzi na jana tulifanya maombi ili Mungu atunusuru na ugonjwa wa Corona, pia mwaka jana Taifa liliomba Mungu asimamie uchaguzi mkuu.
Mungu alitusikia na kwa sasa anatenda, hivyo atuna sababu yeyote ya kujiangaisha tena na mambo ambayo tulikwisha mwachia Mungu.
Kazi tuliyonayo kwa sasa ni moja.
"KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO"