Babu yake Mzee Michuzi alikuwa mpishi wa Nyerere Ikulu🤣🤣🤣🤣Baba yake Issa Michuzi ni mpiga picha maarufu wa Ikulu enzi za JK.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu yake Mzee Michuzi alikuwa mpishi wa Nyerere Ikulu🤣🤣🤣🤣Baba yake Issa Michuzi ni mpiga picha maarufu wa Ikulu enzi za JK.
Eeee bhana eeeee !!Babu yake Mzee Michuzi alikuwa mpishi wa Nyerere Ikulu🤣🤣🤣🤣
Hii nchi inakoelekea siko. Watu wanapeana vyeo kwa kujuana, huku maelfu ya watoto wa masikini wenye sifa ya kuajiriwa, wakitaabika mitaani huku wakiwa hawajui kesho yao itakuwaje.Majina yale yale yanazunguka.
Na hawaamki mpaka siku mwenge ukizimikaSiku watanzania wenyewe wakiamka watadai kila haki na matokeo yake yanaweza kuwa mabaya kama yale ya Sudani au Misri.
CCM na watu wake bado hawataki kukubaliana na hesabu, dunia na mambo yamebadirika sana kiasi cha wao kubadili system za kiutawala... WATU KWA SASA MAENDELEO KWA KASI KULINGANA NA RASIMALI ZILIZOKUWEPO NA SI BLAH BLAH... siku wananchi watakapopata akili na hasira za kudai matunda ya wao kuwa WATANZANIA HALI INAWEZA KUWA MBAYA SANA.
Binafsi natamani sana kuishuhudia hii siku. Siku zote nimekuwa nikimuomba Mwenyezi Mungu anijalie afya na uzima tele.Siku watanzania wenyewe wakiamka watadai kila haki na matokeo yake yanaweza kuwa mabaya kama yale ya Sudani au Misri.
CCM na watu wake bado hawataki kukubaliana na hesabu, dunia na mambo yamebadirika sana kiasi cha wao kubadili system za kiutawala... WATU KWA SASA MAENDELEO KWA KASI KULINGANA NA RASIMALI ZILIZOKUWEPO NA SI BLAH BLAH... siku wananchi watakapopata akili na hasira za kudai matunda ya wao kuwa WATANZANIA HALI INAWEZA KUWA MBAYA SANA.
Hapana kunasheria zipo na taratibu zipo kama mifumo imeamua hana hatia ujue kwel hana hatia
Hapana kunasheria zipo na taratibu zipo kama mifumo imeamua hana hatia ujue kwel hana hatia
Hapana kunasheria zipo na taratibu zipo kama mifumo imeamua hana hatia ujue kwel hana hatia
wanapeana ajira alafu mnyonge anaambiwa akajiajiriHii nchi inakoelekea siko. Watu wanapeana vyeo kwa kujuana, huku maelfu ya watoto wa masikini wenye sifa ya kuajiriwa, wakitaabika mitaani huku wakiwa hawajui kesho yao itakuwaje.
Mshua wake alikuwa mpiga picha wa JK Ikulu!Inaonekana huyo dada yupo karibu na Rostam au JK hakuna mtu anaweza kumgusa
Hapana kunasheria zipo na taratibu zipo kama mifumo imeamua hana hatia ujue kwel hana hatia
Inapaswa umpe pongezi kwa kusimamia maadili ya vipngozi wetuBado degree moja tu uwe Mchawii
Ndiyo maana, kwa Tanzania huwezi pata uteuzi bila kuwa na godfather Ikulu
Unahisi alikuwa 'Mpiga Picha' tu?!
Mfumo wa kuamua hatia au kutokua na hatia ni Mahakama. Kama hakufikishwa Mahakamani mleta uzi ana hoja nzito isiyohitaji majibu mepesi kama hili lakoHapana kunasheria zipo na taratibu zipo kama mifumo imeamua hana hatia ujue kwel hana hatia
Kikwete alisemaga kipindi chake kwamba Uwaziri hausomewi !!Vyeo vya kupeana
Kuokotana tu
Ova