Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Wanyonge wanamtaka Samia 2025 - Mwashambwawanapeana ajira alafu mnyonge anaambiwa akajiajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyonge wanamtaka Samia 2025 - Mwashambwawanapeana ajira alafu mnyonge anaambiwa akajiajiri
Siku ya mwisho kila goti litapigwaHii nchi kuja kupata maendeleo itachukua muda sana kama hatutajikomboa toka ukoloni wa hawa wakolini weusi.
Hata mmoja hakuna anaeweza hata kuendesha kwa faida na ikamlisha hakuna. Ni kodi zetu tu.wanapeana ajira alafu mnyonge anaambiwa akajiajiri
Chama chetu hakina taratibu hizo, unao uhuru wa kuwa mpinzani huzuiwiHivi CCM haina watu wengine? Kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo?
Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala Bora?
Sasa yule DC na TAKUKURU katika hali hii wanajionaje?
=======
asante kwa TaarifaChama chetu hakina taratibu hizo, unao uhuru wa kuwa mpinzani huzuiwi
Hivi Afisa kipenyo cameraman Muhidini Michuzi nae unamuweka katika orodha ya viongozi? Usitumie hilo jina "Erythrocyte"Majibu tafadhali
Huyu zahara michuzi, amefika hapo, kwa vile tu baba yake, Isa michuzi, alikuwa mpiga picha wa ikulu! Alimaliza Udom,2013! Akapewa kazi, serikalini, muda mfupi, akawa DED! Uzoefu wa kazi aliupata wapi? Mambo ya kuteua majina kwa kuletewa tu,Hivi CCM haina watu wengine? Kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo?
Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala Bora?
Sasa yule DC na TAKUKURU katika hali hii wanajionaje?
=======
Haoowanabifuyaaaaaaakima...mkuu na dcHivi CCM haina watu wengine? Kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo?
Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala Bora?
Sasa yule DC na TAKUKURU katika hali hii wanajionaje?
=======
Utapata stress bure mkuu. Hii nchi we tafuta nafasi ule wananchi wanawaona wanaotafuna nchi ndio mashujaa na wale wanaojaribu kuzuia no wachawi.Wazalendo tumeanza kuitwa Wachawi !
Hii Nchi ndio basi tena .
Hakuna kitu rahisi Duniani kama kuongoza wanachi Wasiojielewa.
HONGERA CCM.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Vyeo vya kupeana,mpe mtoto wa fulani,mpe dem wa fulani au dem wakoHii nchi kuja kupata maendeleo itachukua muda sana kama hatutajikomboa toka ukoloni wa hawa wakolini weusi.
Huyu mupe huyu Muruke.Vyeo vya kupeana,mpe mtoto wa fulani,mpe dem wa fulani au dem wako
Vurugu tupu
Ova
Achana naye huyu,ni mpumbavu na zao la kanumba sekondari, shule ambazo aliyezibuni hata kitukuu chake hakijasoma kuleWazalendo tumeanza kuitwa Wachawi !
Hii Nchi ndio basi tena .