Je, TAKUKURU iendelee kumchunguza Zahara Michuzi au iache?

Na hawaamki mpaka siku mwenge ukizimika
 
Binafsi natamani sana kuishuhudia hii siku. Siku zote nimekuwa nikimuomba Mwenyezi Mungu anijalie afya na uzima tele.
 
Kumzungumzia Zahara = kumzungumzia Mhidini Michuzi
Kumzunguzia Mhidini Michuzi = kumzungumzia JK mzee wa fitina na ukigeugeu
Huyo Zahara ajue za kuambiwa achanganye na zake ipo siku isiyojulikana JK atamgeuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…