Je, tangawizi ikichemshwa dakika 5 itapungua nguvu yake?

Je, tangawizi ikichemshwa dakika 5 itapungua nguvu yake?

Ubezea

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
1,232
Reaction score
631
Wakuu umofia kwenu? Nauliza iwapo nikichemsha tangawizi km dakika 5 hivi , je inaeza kupungua nguvu au virutubisho vyake?

Maana nataka niinywe then nikamsugue demu
 
Tafuna ikiwa mbichi kama mm unaweka hapo chumvi kidogo tu unatafuta ukimaliza unasikia kifua kimepona kabisa.
 
Wakuu umofia kwenu? Nauliza iwapo nikichemsha tangawizi km dakika 5 hivi , je inaeza kupungua nguvu au virutubisho vyake?
Maana nataka niinywe then nikamsugue demu

Eeee Mungu tusaidie, Corona iishe hawa watoto warudi shule... Maana huku wanadanganyana kuwa tangawizi inaongeza.....
 
😂😂😂 Mtoa mada 😂😂😂 nmecheka sana maamae

Huyo aliyekudanganya sio mtu mzuri ht kdg
 
Back
Top Bottom