Special school za siku hizi mchwara. The only real special school that time was Ilboru na namba 2 Mzumbe kwa mbali
Sasa 80 wana A,31 wana B,jumla yao si 121?au kuna negative students,haahaha!nways nlisoma A level kibaha 2008/2010,pako poa!
Mh.Kikwete mwenyewe alisoma hapo. Sema basi tu
Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
Sasa 80 wana A,31 wana B,jumla yao si 121?au kuna negative students,haahaha!nways nlisoma A level kibaha 2008/2010,pako poa!
Sasa 80 wana A,31 wana B,jumla yao si 121?au kuna negative students,haahaha!nways nlisoma A level kibaha 2008/2010,pako poa!
Rudi shule 80 +31 =111 it means 19 wamebaki hao ndo wana C D nk
Rudi shule 80 +31 =111 it means 19 wamebaki hao ndo wana C D nk
ama kweli hisabati janga la taifa.120-1111:?
Kweli mathematics janga la taifa...me nadhani ungeungana naye tu kurudi shule
Sasa 80 wana A,31 wana B,jumla yao si 121?au kuna negative students,haahaha!nways nlisoma A level kibaha 2008/2010,pako poa!
Zipo ambazo ni kibaha,mzumbe,ilboru,Tabora boyz,Tabora girls,msalato, na kilakala. il a sasa kama hazionekani vile kwa sababu hizi seminary. Ila ukweli najivunia nimesoma kibaha form ( 1-6) . Nina ushuhuda ya kuwa wanafunzi wanaopita pale wanasoma na tegemeo sana kwa taifa . Na wengi wao huwa wanafanya vizur Chuo. Mfano Mimi nilimaliza form six 2002 tulikuwa wanafunz 106 pcm,PCB na CBA . 100% wote tulienda vyuo vikuu. Kati ya hao wanaofundisha sasa vyuo mbalimbali kama udom,udsm,sua,aru,muhimbili,ifm,cbe,etc wapo 25.wanaosoma nje masters-13,phd-2. Wanaofanya mashirika makubwa kama TBS,tanesco,Tigo,voda,Airtel,tccl,TBA,nhc,etc. Na wizara karibu nyingi wapo. Kwa hiyo nawashauri waambieni watoto wenu wasome sana.
Mkuu nimeipenda hoja yakoKuna kipaji Bongo kila siku wagonjwa wanaenda kufanyiwa Operesheni India hivo vipaji gani tulivyo navyo? labda mngespecify kuwa shule za watoto wenye vipaji vya kujibu mitihani vizuri sio kugeneralize tu kuwa za vipaji.
Elimu ya Bongo anayejiita mwenye kipaji na asiye na kipaji wote ni CREATURES TU na wala sio CREATORS
Kuna kipaji Bongo kila siku wagonjwa wanaenda kufanyiwa Operesheni India hivo vipaji gani tulivyo navyo? labda mngespecify kuwa shule za watoto wenye vipaji vya kujibu mitihani vizuri sio kugeneralize tu kuwa za vipaji.
Elimu ya Bongo anayejiita mwenye kipaji na asiye na kipaji wote ni CREATURES TU na wala sio CREATORS
Mi nilishagasema humu kuwa kufaulu mtihani si kipaji maalum!