Je Tanzania bado kuna shule za vipaji?

Je Tanzania bado kuna shule za vipaji?

kuna wakati huwa najiuliza,hawa waliosoma the so called shule za vipaji maalumu-special schools,baada ya kumaliza elimu ya juu,huwa wanafichwa/wanajificha wapi?mbona karibu % kubwa ya watunga sera na wafanya maamuzi nyeti tz CV zao hazionyeshi kama walisoma ktk shule hizo!?.ama hakika nchi hii wenye "akili ndogo huwaongoza wenye akili kubwa".
 
Sasa 80 wana A,31 wana B,jumla yao si 121?au kuna negative students,haahaha!nways nlisoma A level kibaha 2008/2010,pako poa!

80+31=121? Kweli? Halafu umepiga Kibaha shule ya vipaji maalum?

Ushauri;Jaribu kujenga tabia ya kupumzika at least 30-45mins bila Ku-socialize na watu after smoking marijuana!Umeidharirisha hiyo shule mkuu
 
Sasa 80 wana A,31 wana B,jumla yao si 121?au kuna negative students,haahaha!nways nlisoma A level kibaha 2008/2010,pako poa!

Rudi shule 80 +31 =111 it means 9 wamebaki hao ndo wana C D nk
 
Zipo ambazo ni kibaha,mzumbe,ilboru,Tabora boyz,Tabora girls,msalato, na kilakala. il a sasa kama hazionekani vile kwa sababu hizi seminary. Ila ukweli najivunia nimesoma kibaha form ( 1-6) . Nina ushuhuda ya kuwa wanafunzi wanaopita pale wanasoma na tegemeo sana kwa taifa . Na wengi wao huwa wanafanya vizur Chuo. Mfano Mimi nilimaliza form six 2002 tulikuwa wanafunz 106 pcm,PCB na CBA . 100% wote tulienda vyuo vikuu. Kati ya hao wanaofundisha sasa vyuo mbalimbali kama udom,udsm,sua,aru,muhimbili,ifm,cbe,etc wapo 25.wanaosoma nje masters-13,phd-2. Wanaofanya mashirika makubwa kama TBS,tanesco,Tigo,voda,Airtel,tccl,TBA,nhc,etc. Na wizara karibu nyingi wapo. Kwa hiyo nawashauri waambieni watoto wenu wasome sana.

I hope mliingia pale form five mkiwa na vipaji je unavoona wewe mlitoka pale mkiwa na vipaji {I meana wote mlipata One}?
 
Kuna kipaji Bongo kila siku wagonjwa wanaenda kufanyiwa Operesheni India hivo vipaji gani tulivyo navyo? labda mngespecify kuwa shule za watoto wenye vipaji vya kujibu mitihani vizuri sio kugeneralize tu kuwa za vipaji.
Elimu ya Bongo anayejiita mwenye kipaji na asiye na kipaji wote ni CREATURES TU na wala sio CREATORS
 
usiseme hivo special zote ni moto

Kila mtu anajua shule bora Tanzania ya serikali na special school ilikuwa Ilboru #1 . Mzumbe #2 . Angalia quality ya wanafunzi ukilinganisha na ukubwa wa shule Lawyers, educators, professionals etc Ilboru# 1 by far
 
Kuna kipaji Bongo kila siku wagonjwa wanaenda kufanyiwa Operesheni India hivo vipaji gani tulivyo navyo? labda mngespecify kuwa shule za watoto wenye vipaji vya kujibu mitihani vizuri sio kugeneralize tu kuwa za vipaji.
Elimu ya Bongo anayejiita mwenye kipaji na asiye na kipaji wote ni CREATURES TU na wala sio CREATORS
Mkuu nimeipenda hoja yako
 
Kuzaliwa binadamu na akili timamu ni kipaji maalum tayari, vipaji maalum vingine nchi za vumbi huko havipati kurutubishwa tu.

Wewe unafikiri mamilioni yote hayo ya Waafrika hakuna kina Einstein wanaoishia kuchimba mihogo kwa kukosa hata kasehemu ka kupangusa tongotongo kwa vi journals vya miezi sita iliyopita?

Utashangaa nchi za watu waliojishughulisha kufukua majuzuu na makabrasha mpaka mtoto mwenye mtindio wa ubongo kipaji chake maalum kinajulikana, sie kwetu ataishia kuitwa ndondocha.
 
Kuna kipaji Bongo kila siku wagonjwa wanaenda kufanyiwa Operesheni India hivo vipaji gani tulivyo navyo? labda mngespecify kuwa shule za watoto wenye vipaji vya kujibu mitihani vizuri sio kugeneralize tu kuwa za vipaji.
Elimu ya Bongo anayejiita mwenye kipaji na asiye na kipaji wote ni CREATURES TU na wala sio CREATORS

Mi nilishagasema humu kuwa kufaulu mtihani si kipaji maalum!
 
Me nawakubali wale wachoraji na ubunifu hao ndio wana vipaji maalumu co hawa wanao kalilishwa masomo..eti tanzania ilipata uhuru mwaka gani=1961tiki .mh hapo hamna kitu ni umburura tu...
 
Back
Top Bottom