Je, Tanzania bado ni salama kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya matukio ya uchaguzi mkuu?

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
1,114
Reaction score
2,088
AFCON 2027

Nitashangaa sana kuona CAF inaicha Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya yote yaliyotokea

Nashauri CAF waiondoe Tanzania mapema kabisa katika nchi mwenyeji wa AFCON 2027
 
Asante sana mkuu Kwa kukumbushia hiki kitu, hebu tuliporti kwao kuhusu kugandamizwa Kwa haki Tanganyika na juu ya mauji ya raia pamoja na watoto wasio na hatia ,tuwajulishe kuwa Tanganyika si salama Kwa Sasa kuwa mwenyeji wamashindano hayo

Email yao yao hii hapa,tutume picha na video kuonesha udharimu wa Samia,
Barua pepe rasmi ya CAF ni:
[email protected]
 
Kabisa mkuu
 
AFCON 2027

Nitashangaa sana kuona CAF inaicha Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya yote yaliyotokea

Nashauri CAF waiondoe Tanzania mapema kabisa katika nchi mwenyeji wa AFCON 2027
Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom