Je, Tanzania imefuzu 16 bora AFCON kama best looser?

Nipe source ya taarifa

Nipe source ya taarifa
 
HABARI NJEMA KABISA HII
 
Kufungua nini mkuu!?
Angola wamefungwa magoli 2 wamefungwa 3 wana goal difference ya -1, Tanzania wamefungwa magoli 3 wamefungwa 4 Wana goal difference ya 1.

Baada ya kufanana kwenye goal difference wanakwenda kuangalia timu iliyofunga magoli mengi, ambayo ni Tanzania iliyofunga magoli 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…