Boli linatembea
Senior Member
- Dec 21, 2022
- 115
- 333
Gabon akishinda kesho itakuwaje?Nauliza waungwana kati ya Angola na Tanzania ipi itafuzu kama best looser?
Tanzania imefugwa magoli 4 na kushinda 3, wakati Angola imefungwa magoli 3 na kushinda 2. Wote tuna points 2.
Ikumbukwe Ureno ilishawahi kufuzu kama best looser kwenye michuano ya Euro na kuwa bingwa.