Je, Tanzania imefuzu 16 bora AFCON kama best looser?

Je, Tanzania imefuzu 16 bora AFCON kama best looser?

Nauliza waungwana kati ya Angola na Tanzania ipi itafuzu kama best looser?

Tanzania imefugwa magoli 4 na kushinda 3, wakati Angola imefungwa magoli 3 na kushinda 2. Wote tuna points 2.

Ikumbukwe Ureno ilishawahi kufuzu kama best looser kwenye michuano ya Euro na kuwa bingwa.
Ndio imefuzu
 
Back
Top Bottom