secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Wapigwe zaidi ya magoli matano na roho yangu itatulia.Morocco ndo mwenyeji na ugwadu kweli
Nina uhakika atayafunga goli 7
Yatarudi kama makondoo
Hivyo mkuu πNdagha
Goli 5 ni za kufikiaWapigwe zaidi ya magoli matano na roho yangu itatulia.
Unadhani chura kiziwi hatafanya uchwi wake kusudi timu yake ishinde?Goli 5 ni za kufikia
Hii Morocco inayocheza semi final ya world cup, itashindwa kuyapiga Kizimkazi FC
Ndio imefuzuNauliza waungwana kati ya Angola na Tanzania ipi itafuzu kama best looser?
Tanzania imefugwa magoli 4 na kushinda 3, wakati Angola imefungwa magoli 3 na kushinda 2. Wote tuna points 2.
Ikumbukwe Ureno ilishawahi kufuzu kama best looser kwenye michuano ya Euro na kuwa bingwa.
Na sisi hatukuwa seriousUnadhani chura kiziwi hatafanya uchwi wake kusudi timu yake ishinde?
Ila lazima warudi, full stop.Na sisi hatukuwa serious
Sasa Wacha tupambane warudi
Uchawi tunao
Watafungwa magoli mengiIla lazima warudi, full stop.
Na hiyo ndo furaha yangu.Watafungwa magoli mengi
Itakuwa record huko CAF, timu kufungwa goli nyingi Toka Afcon ianzishwe
Morocco wale ni mafundi mno
Naona machawa wanatumia pongezi huko KizimjobNa hiyo ndo furaha yangu.
Wanajiingizia kidole kunako na kukinusa.Naona machawa wanatumia pongezi huko Kizimjob
ππππWanajiingizia kidole kunako na kukinusa.
Chill sauceNipe source ya taarifa
Na Mumeo AbdulSource ipo kwa Maria Sarungi.!
Yaani Morocco amepata mteremko kwa kupangiwa na mgawa utamu.Sema mwanetu Morocco hatatuangusha atayatumia kama daraja la kwenda quarter final
Morocco piga hao MANYONYO STARS!!!ππππ
Dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unadhani chura kiziwi hatafanya uchwi wake kusudi timu yake ishinde?
Hata tunisia ni mafundi na pia waarabu, ila mpira duaraWatafungwa magoli mengi
Itakuwa record huko CAF, timu kufungwa goli nyingi Toka Afcon ianzishwe
Morocco wale ni mafundi mno