Boli linatembea
Senior Member
- Dec 21, 2022
- 115
- 333
Gabon akishinda kesho itakuwaje?Nauliza waungwana kati ya Angola na Tanzania ipi itafuzu kama best looser?
Tanzania imefugwa magoli 4 na kushinda 3, wakati Angola imefungwa magoli 3 na kushinda 2. Wote tuna points 2.
Ikumbukwe Ureno ilishawahi kufuzu kama best looser kwenye michuano ya Euro na kuwa bingwa.
Atamtoa Mozambique, ni third place tu anaendaGabon akishinda kesho itakuwaje?
hapa na mimi nilikua sielewi, kwahiyo best loser wanaangalia nafasi ya tatu tu, hata kama kwenye group lako una points nyingi lakini upo nafasi ya nne?Atamtoa Mozambique, ni third place tu anaenda
hapa na mimi nilikua sielewi, kwahiyo best loser wanaangalia nafasi ya tatu tu, hata kama kwenye group lako una points nyingi kuliAtamtoa Mozambique, ni third place tu anaenda
Tunafuata 'Alphabet' kama timu zimefanan kwenye utofauti wa magoli......Nauliza waungwana kati ya Angola na Tanzania ipi itafuzu kama best looser?
Tanzania imefugwa magoli 4 na kushinda 3, wakati Angola imefungwa magoli 3 na kushinda 2. Wote tuna points 2.
Ikumbukwe Ureno ilishawahi kufuzu kama best looser kwenye michuano ya Euro na kuwa bingwa.
Yes na ndio maana kitaalam haiitwi best loser bali inaitwa best runnersup, sena wengi hatuelewi na ndio tunaenda hivyo hivyo tuhapa na mimi nilikua sielewi, kwahiyo best loser wanaangalia nafasi ya tatu tu, hata kama kwenye group lako una points nyingi kuli
Ndoivo!