Zanaco
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 1,611
- 1,590
Wizi unaanzia kwenye kura kuvuruga uchaguzi na kupanga matokeo ya uchaguzi kwakifupi ccm ni wezi wa pesa zetu kwasabu wamepanga matokeo ya uchaguziInawezekana Samia si katika hao na ndio ikawa shida kwa viongozi wa serikali ambao wameota mizizi ndani ya serikali tokea tupate Uhuru na hata maraisi wastaafu wanaonekana wakijichomeka kung'ang'ania serikali na sio serikali bali Raisi mpya anaeingia madarakani.
Hisia zinaonyesha kuna magenge ambayo mazoea yao yanaonekana kukatika au kukatwa na sasa wanafanya juu chini ili kutafuta mbadala wa Samia ili wizi uendelee kama kawaida.
Ndio nikauliza Tanzania imewahi kuwa na Raisi kibaka ?