chrome
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 401
- 426
Teodoro Nguema Obiang Mangue ni makamu wa pili wa rais wa Guinea ya Ikweta - na wakati huo huo ni mtoto wa rais. Baba yake, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ametawala nchi hiyo tangu mwaka 1979.
Wakati huo huo mtoto wake wa kufikia, Gabriel Mbega Obiang, ni Waziri wa mafuta. Kampuni ya mafuta ya GEPetrol iliongozwa na ndugu wa Rais, Nsue Okomo hapo awali.