Je, Tanzania ingefikia huku kama Guinea ya Ikweta? Familia na madaraka

Je, Tanzania ingefikia huku kama Guinea ya Ikweta? Familia na madaraka

Hawawezi kunidanganya. Ninachojua nchi yeyote Africa ambayo inatoa social benefits na pesa kila mwezi kwa wananchi wao na ni visa free ulaya Marekani na Canada wako vizuri kulingana na hali yao ya maisha. Na hizo nchi Africa ni Equatorial Guinea, Mauritius, Namibia na Botswana.

Usitudanganye wewe ulipitia Chad kuelekea Darfur kikazi zingine umeokoteza mtandaoni Wikipedia
Basi mkuu nisamehe bure we endelea kuamini maneno ya kuambiwa, ila mimi nimejionea kwa macho yangu.

AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
 
Hawawezi kunidanganya. Ninachojua nchi yeyote Africa ambayo inatoa social benefits na pesa kila mwezi kwa wananchi wao na ni visa free ulaya Marekani na Canada wako vizuri kulingana na hali yao ya maisha. Na hizo nchi Africa ni Equatorial Guinea, Mauritius, Namibia na Botswana.

Usitudanganye wewe ulipitia Chad kuelekea Darfur kikazi zingine umeokoteza mtandaoni Wikipedia
We bhana hizi habari sijui kakupa nani! Anyway, nitafanya utafiti lakini sidhni kama zitakuwa kweli. Kwanza ufahamu Equatorial Guinea inahesabika ni utawala wa kidikteta!! Rais wa EG anahesabika ni miongoni mwa marais wezi wa kutisha barani Afrika! Sasa unatarajia kwa CV hiyo Marekani ndo wanaweza kuwa na Uswahiba na taifa kama hilo?

Tukija kiuchumi; Uchumi wa Makaratasi EG ni tajiri wa kufa mtu! Wana GDP per Capita pamoja GNI per capita kubwa sana. Ukubwa wa hizo indicators umetokana na hiyo nchi kuwa na mafuta ya kumwaga wakati nchi ina population ndogo mno! Nchi mzima hawafiki hata 2M, na ukubwa wake inaingia TZ zaidi ya mara 30. Kwa kuangalia idadi ya watu, ukubwa wa nchi pamoja na utajiri wa mafuta iliyonayo, Equitorial Guinea ilitakiwa iishi kama baadhi ya nchi tajiri za Kiarabu na sio vile ilivyo ambavyo kimsingi utajiri wake upo kwenye makaratasi tu!!
 
Google inasaidia sana
 
Equitorial Guniea ni nchi masikini kupindukia
Mkuu unapopinga kitu hakikisha una taarifa sahihi ya kitu hicho.
Screenshot_20210203-065813.jpg

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mradi tu waheshimu katiba mbona chama kile baba mkwe ndie mmiliki mkwe ndie mwenyekiti!

Teodoro Nguema Obiang Mangue ni makamu wa pili wa rais wa Guinea ya Ikweta - na wakati huo huo ni mtoto wa rais. Baba yake, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ametawala nchi hiyo tangu mwaka 1979.

Wakati huo huo mtoto wake wa kufikia, Gabriel Mbega Obiang, ni Waziri wa mafuta. Kampuni ya mafuta ya GEPetrol iliongozwa na ndugu wa Rais, Nsue Okomo hapo awali.
 
Kuelezea uhalisia wa Afrika wala huna haja ya kutumia Google labda kama huna mazoea ya kusoma na kufuatilia habari!! Uhuni wa Teodoro Obiang umeanza kufahamika hata kabla hiyo Google haijazaliwa!!! Hivi unahitaji kuingia Google kufahamu kwamba pamoja na utajiri mkubwa wa mafuta na gesi pale Nigeria lakini bado taifa hilo hadi kesho mara kwa mara huwa linakumbwa na mgao wa kutisha wa umeme?! Hivi unahitaji kuingia Google kufahamu jinsi binti wa ex-president wa Angola alivyokuwa anakwiba utajiri mkubwa wa mafuta wa taifa hilo wakati babake akiwa madarakani huku maeneo kadhaa ya Angola yakiwa na ufukara wa kutisha?!

Google inasaidia kupata exact data, kwa mfano nimetaja GNI na GDP per capita lakini kupata exact data ya hizo indicators nilitakiwa kuingia Google lakini kwavile nimeona taabu, nimeishia tu kutaja bila figures! Ukitoa data, general knowledge zipo miaka yote kabla ya Google kwahiyo ni suala tu la mtu kuamua kufuatilia kinachoendelea duniani au kutokuwa na interest na hayo mambo!!!
Waafrika wote ufanana,thus botha alisema hatuna uwezo wa kuongoza jamii.
Wizi, ufisadi, ubinafsi,ulafi, undugu, ukabila, uchawi,uvivu, unategemea nn kwa waafrika Kama kina mawe jiwe wao ujitapa na kuona fahari kabisa kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe.Trump alisema bado aamini Kama watawala wa kiafrica ni watu.
 
Mkuu unapopinga kitu hakikisha una taarifa sahihi ya kitu hicho.View attachment 1693072

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ndo huo tunaouita uchumi wa kwenye makaratasi!!! Equitorial Guinea ina mafuta, na population yake ni ndogo sana! Sasa ukichukua billions wanazoingiza kwenye mafuta, ukaja kugawanya na idadi ya watu lazima utapata GDP per capita kubwa! Rudi kwa wananchi wake sasa! Hiyo GDP per capita wanaizidi China. Je, unaweza kuthubutu kusema Equitorial Guinea mambo yao mazuri kuliko China?! Hivi unaweza kuthubutu kusema Equitorial Guinea mambo yao mazuri kuliko South Africa?! Amini usiamini, katika orodha yote uliyotaja hapo juu, ni Seychelles na Mauritius pekee ndizo per capita zake angalau zinaakisi population! Ukitoa South Africa ambako michakato ni mingi, zingine zote hizo bora ubaki Tanzania!!
 
Afrika ndipo unapoweza pata case study ya effect of bad leadership Kama unafanya research.
 
PUTIN: AFRIKA HAITOKAA IWE HURU

Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.

Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."

Je unakubaliana na Rais Vladmir Putin?
Je ni kipi unaweza kuongeza kuhusu Afrika?

Quote
 
Waafrika wote ufanana,thus botha alisema hatuna uwezo wa kuongoza jamii.
Wizi, ufisadi, ubinafsi,ulafi, undugu, ukabila, uchawi,uvivu, unategemea nn kwa waafrika Kama kina mawe jiwe wao ujitapa na kuona fahari kabisa kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe.Trump alisema bado aamini Kama watawala wa kiafrica ni watu.
Yaani Afrika utasema tumerogwa kubwa la wachawi ulimwenguni!!! Na kwa kweli kwa ukubwa wa Equitoria Guienea na utajiri wa mafuta iliyonayo, ile nchi ilitakiwa angalau angalau iwe na viwango vya nchi za South East Asia.
 
Swali la kujiuza, je? Uchumi wa hiyo ukoje na pato la mtu mmoja mmoja.
Kujua uchumi wa nchi hausaidii chochote kuhusu Hali halisi. "Uchumi wa Kati my ar$$.
Pato la mtu mmoja mmoja hapo Safi kabisa. Ni vizuri kujua.
 
Back
Top Bottom