Je, Tanzania ingefikia huku kama Guinea ya Ikweta? Familia na madaraka

Basi mkuu nisamehe bure we endelea kuamini maneno ya kuambiwa, ila mimi nimejionea kwa macho yangu.

AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
 
We bhana hizi habari sijui kakupa nani! Anyway, nitafanya utafiti lakini sidhni kama zitakuwa kweli. Kwanza ufahamu Equatorial Guinea inahesabika ni utawala wa kidikteta!! Rais wa EG anahesabika ni miongoni mwa marais wezi wa kutisha barani Afrika! Sasa unatarajia kwa CV hiyo Marekani ndo wanaweza kuwa na Uswahiba na taifa kama hilo?

Tukija kiuchumi; Uchumi wa Makaratasi EG ni tajiri wa kufa mtu! Wana GDP per Capita pamoja GNI per capita kubwa sana. Ukubwa wa hizo indicators umetokana na hiyo nchi kuwa na mafuta ya kumwaga wakati nchi ina population ndogo mno! Nchi mzima hawafiki hata 2M, na ukubwa wake inaingia TZ zaidi ya mara 30. Kwa kuangalia idadi ya watu, ukubwa wa nchi pamoja na utajiri wa mafuta iliyonayo, Equitorial Guinea ilitakiwa iishi kama baadhi ya nchi tajiri za Kiarabu na sio vile ilivyo ambavyo kimsingi utajiri wake upo kwenye makaratasi tu!!
 
Google inasaidia sana
 
Mradi tu waheshimu katiba mbona chama kile baba mkwe ndie mmiliki mkwe ndie mwenyekiti!
 
Waafrika wote ufanana,thus botha alisema hatuna uwezo wa kuongoza jamii.
Wizi, ufisadi, ubinafsi,ulafi, undugu, ukabila, uchawi,uvivu, unategemea nn kwa waafrika Kama kina mawe jiwe wao ujitapa na kuona fahari kabisa kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe.Trump alisema bado aamini Kama watawala wa kiafrica ni watu.
 
Mkuu unapopinga kitu hakikisha una taarifa sahihi ya kitu hicho.View attachment 1693072

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ndo huo tunaouita uchumi wa kwenye makaratasi!!! Equitorial Guinea ina mafuta, na population yake ni ndogo sana! Sasa ukichukua billions wanazoingiza kwenye mafuta, ukaja kugawanya na idadi ya watu lazima utapata GDP per capita kubwa! Rudi kwa wananchi wake sasa! Hiyo GDP per capita wanaizidi China. Je, unaweza kuthubutu kusema Equitorial Guinea mambo yao mazuri kuliko China?! Hivi unaweza kuthubutu kusema Equitorial Guinea mambo yao mazuri kuliko South Africa?! Amini usiamini, katika orodha yote uliyotaja hapo juu, ni Seychelles na Mauritius pekee ndizo per capita zake angalau zinaakisi population! Ukitoa South Africa ambako michakato ni mingi, zingine zote hizo bora ubaki Tanzania!!
 
Afrika ndipo unapoweza pata case study ya effect of bad leadership Kama unafanya research.
 
PUTIN: AFRIKA HAITOKAA IWE HURU

Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.

Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."

Je unakubaliana na Rais Vladmir Putin?
Je ni kipi unaweza kuongeza kuhusu Afrika?

Quote
 
Yaani Afrika utasema tumerogwa kubwa la wachawi ulimwenguni!!! Na kwa kweli kwa ukubwa wa Equitoria Guienea na utajiri wa mafuta iliyonayo, ile nchi ilitakiwa angalau angalau iwe na viwango vya nchi za South East Asia.
 
Swali la kujiuza, je? Uchumi wa hiyo ukoje na pato la mtu mmoja mmoja.
Kujua uchumi wa nchi hausaidii chochote kuhusu Hali halisi. "Uchumi wa Kati my ar$$.
Pato la mtu mmoja mmoja hapo Safi kabisa. Ni vizuri kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…