Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Ile ni Mali binafsi ya familia ya nguema,ni Kama ilivyo uganda ni Mali ya M7.Yaani Afrika utasema tumerogwa kubwa la wachawi ulimwenguni!!! Na kwa kweli kwa ukubwa wa Equitoria Guienea na utajiri wa mafuta iliyonayo, ile nchi ilitakiwa angalau angalau iwe na viwango vya nchi za South East Asia.
Pale Equitorial Guinea akiingia rais "kichaa" anaweza kufanya kama walivyofanya Angola waliopokonya mali za binti wa Edwardo dos Santos!Ile ni Mali binafsi ya familia ya nguema,ni Kama ilivyo uganda ni Mali ya M7.
Nafikiri shetani huwa anajifunza baadhi ya skills kutoka kwa MwafrikaPUTIN: AFRIKA HAITOKAA IWE HURU
Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.
Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."
Je unakubaliana na Rais Vladmir Putin?
Je ni kipi unaweza kuongeza kuhusu Afrika?
Quote
Kwa hiyo magufuli ni mtoto wa kikwete na kikwete ni mtoto wa Nyerere very silly thread
Huwa nashangaa Sana mtu kusema eti mamlaka zote zimetoka kwa Mungu.Ina maana Mungu atupendi waafrika why tangu Uhuru afrika haijawahi pata watawala wa maana ni vichomi,bogus mwanzo mwisho ambao wamesababisha mateso makubwa Sana kwa mwafrika kuliko hata ya mkoloni kwa kuuwa,kuteka, kuleta umasikini,njaa, maradhi na KILA tabu baada ya Uhuru.Nafikiri shetani huwa anajifunza baadhi ya skills kutoka kwa Mwafrika
Basi huko watakuwa wana muhitaji "Membe"Mji mkubwa katika hiyo nchi unaitwa BATA na watu wake wanakula bata kweli kweli
Malabo is capital cityMji mkubwa katika hiyo nchi unaitwa BATA na watu wake wanakula bata kweli kweli
Afrika ya weusi karibu zote ufanana kiuchumi wa mtu mmoja mmojaSwali la kujiuza, je? Uchumi wa hiyo ukoje na pato la mtu mmoja mmoja.