min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Uhuru huo mpka wanaodai ni waabudi shetani nao wanaoTanzania bado ni taifa linalojifunza kuhusu tofauti za imani na mitazamo hasa isiyo ya kidini. Kuwepo kwa kundi kama Atheist Tanzania ni jambo ambalo linahitaji mjadala mpana wa kitaifa kuhusu uhuru wa imani ikiwa ni pamoja na haki ya kutokuamini.
Ni halali kwa watu kutokuamini kama vile ilivyo halali kuamini. Lakini jamii ya Tanzania bado haijawa wazi sana kkwa hili
