Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Atheist sio wapagani.Wapagani
Wapagani wana imani. Ila tu imani yao ipo nje ya Mungu wa Ukristo.
Atheists hatuna imani wala dini.
Watanzania wengi hawaelewi hata maana ya neno wapagani(pagans)
Wapagani ni waumini wote ambao hawaabudu na hawaamini kwenye Mungu wa Ukristo.
Kama ilivyo makafiri ni waumini wote ambao hawamwamini Allah.
Kwenye ukristo, waislamu wote ni wapagani kwa sababu hawamwamini Mungu wa Ukristo. Kwenye uislamu, wakristo wote ni makafiri kwa sababu hawamwamini Allah.
Atheists hatuamini kwenye imani yeyote ile.
Hatuamini Mungu, Shetani, majini, mapepo, mizimu, uchawi na ushirikina.