Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Atheist sio wapagani.Wapagani
Theists are also indoctrinated gullibles.Atheists na wapagani are simply confused idiots
Kwaiyo nyie mpo mpo tuAtheist sio wapagani.
Wapagani wana imani. Ila tu imani yao ipo nje ya Mungu wa Ukristo.
Atheists hatuna imani wala dini.
Watanzania wengi hawaelewi hata maana ya neno wapagani(pagans)
Wapagani ni waumini wote ambao hawaabudu na hawaamini kwenye Mungu wa Ukristo.
Kama ilivyo makafiri ni waumini wote ambao hawamwamini Allah.
Atheists hatuamini kwenye imani yeyote ile.
Hatuamini Mungu, Shetani, majini, mapepo, mizimu, uchawi na ushirikina.
Mpo mpo tu, una maanisha nini?Kwaiyo nyie mpo mpo tu
Yani mpo mnaishi tu bila imani yoyoteMpo mpo tu, una maanisha nini?
Ulitaka tuweje?
Na kutengemea sayansi kuelezea mambo pamoja kuelezea ulimwengu kwa ujumla inshort tunategemea zaidi shahidi za kisayansi sio imaniYani mpo mnaishi tu bila imani yoyote
Hatuamini kwenye kuamini.Yani mpo mnaishi tu bila imani yoyote
Sawa Sawa mkuuHatuamini kwenye kuamini.
Hatuna imani ya aina yeyote ile.
Hatuhitaji kuamini.
Tunahitaji kujua.
We need knowledge NOT faith.
Nimewapata mkuuNa kutengemea sayansi kuelezea mambo pamoja kuelezea ulimwengu kwa ujumla inshort tunategemea zaidi shahidi za kisayansi sio imani
Mnataka umoja wa nini wakati hamuamini? Umoja ni alama ya watu wanaoamini, watu wenye upendo kwa sababu, Mungu ndio upendo wenyewe."Samahani kwa kuuliza, lakini naomba kujua kama Tanzania kuna Atheist Society au jamii yoyote rasmi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu? Kama hakuna, kwanini jamii kama hii haipo hadi sasa wakati nchi nyingine zina uhuru wa imani mbalimbali? Je, ni kwa sababu ya mazingira ya kijamii, sheria, au hofu ya unyanyapaa? Niko tu curious kujua sababu na maoni yenu kuhusu hili
Pia kwanini isiundwe ili watu tujiunge
We nae mjinga sanaMnataka umoja wa nini wakati hamuamini? Umoja ni alama ya watu wanaoamini, watu wenye upendo kwa sababu, Mungu ndio upendo wenyewe.
Tanzania Atheist Society ipo na inakutana Clubhouse na wakati mwingine sehemu mbalimbali Tanzania."Samahani kwa kuuliza, lakini naomba kujua kama Tanzania kuna Atheist Society au jamii yoyote rasmi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu? Kama hakuna, kwanini jamii kama hii haipo hadi sasa wakati nchi nyingine zina uhuru wa imani mbalimbali? Je, ni kwa sababu ya mazingira ya kijamii, sheria, au hofu ya unyanyapaa? Niko tu curious kujua sababu na maoni yenu kuhusu hili
Pia kwanini isiundwe ili watu tujiunge
Pamoja mkuu, ufafanuzi mzuri huu.Tanzania Atheist Society ipo na inakutana Clubhouse na wakati mwingine sehemu mbalimbali Tanzania.
Intelligent businessman
Skanka zimekuharibu mdogo angu. Ni maombi yangu siku moja Mungu akutane na wewe kama alivyokutana na Sauli kisha kumbadilisha na kuwa Paulo.We nae mjinga sana