Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

Umenena vema, na tangu zamani wamama walifundishwa na walikuwa wanafanya hivyo kwa Siri na positive impact zilionekana, hata sasa wamama bado wanafanya kwa Siri sana bila watu, mume, watoto,wala huyo aliyempa mimba kujua, Ila ukichunguza kwa makini kwa wanaojua hutambua kuwa mtoto fulani si wa baba yule maana atatofautiana vitu vingi na wenzake
Mwambie ila hawawataki masharooo. Mara nyingi unakuta ni mke wa mtu hivyo hataki mumewe ajue au hakuambii ili usimfuatilie mtoto wako. Anaamua kumzalia mume wa mtu kwa siri. Kwetu wanasema, changanya mbegu yako ili kukitokea laana ya kumaliza ukoo ubakie na njiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali hii ya uchumi, ukikutana na mdada akakuambia hivyo uwe makini sana, hiyo ni trap ili ujae kwenye 18 zake. Mimba ikiingia na mtoto kuzaliwa ndio utajua kuwa kumuelewa mwanamke ni kazi kuliko kutafuta pesa.
 
Umenena vema, na tangu zamani wamama walifundishwa na walikuwa wanafanya hivyo kwa Siri na positive impact zilionekana, hata sasa wamama bado wanafanya kwa Siri sana bila watu, mume, watoto,wala huyo aliyempa mimba kujua, Ila ukichunguza kwa makini kwa wanaojua hutambua kuwa mtoto fulani si wa baba yule maana atatofautiana vitu vingi na wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa ndio msingi wa swali langu maana kuna wazee wawalikua wanaeleza hili jambo na nimeambiwa zamani hizo mzee anajua kabisa hii sio damu yangu ila ndio wanasema kitanda hakizai haramu analea mtoto na anampatia jina...ila mama mpaka anakufa hasemi yule mtoto ni wa nani
 
Haya mambo yapo hadi leo sema kugundua ni ngumu mno
Hapa ndio msingi wa swali langu maana kuna wazee wawalikua wanaeleza hili jambo na nimeambiwa zamani hizo mzee anajua kabisa hii sio damu yangu ila ndio wanasema kitanda hakizai haramu analea mtoto na anampatia jina...ila mama mpaka anakufa hasemi yule mtoto ni wa nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitake ncheke hapa mleta mada wabongo tulivyo na njaa kali kutwa vijana kutavuta vitonga boksa tu kujinunulia mtiani sembuse kumlea mtoto watu wana njaa mpk kwenye unyayo tuwaachie wazungu ayo mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom