Mwambie ila hawawataki masharooo. Mara nyingi unakuta ni mke wa mtu hivyo hataki mumewe ajue au hakuambii ili usimfuatilie mtoto wako. Anaamua kumzalia mume wa mtu kwa siri. Kwetu wanasema, changanya mbegu yako ili kukitokea laana ya kumaliza ukoo ubakie na njiti
Umenena vema, na tangu zamani wamama walifundishwa na walikuwa wanafanya hivyo kwa Siri na positive impact zilionekana, hata sasa wamama bado wanafanya kwa Siri sana bila watu, mume, watoto,wala huyo aliyempa mimba kujua, Ila ukichunguza kwa makini kwa wanaojua hutambua kuwa mtoto fulani si wa baba yule maana atatofautiana vitu vingi na wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio msingi wa swali langu maana kuna wazee wawalikua wanaeleza hili jambo na nimeambiwa zamani hizo mzee anajua kabisa hii sio damu yangu ila ndio wanasema kitanda hakizai haramu analea mtoto na anampatia jina...ila mama mpaka anakufa hasemi yule mtoto ni wa nani