Je, Tanzania kuna Yoabu? Yoabu huyu hapa, ana nguvu sana

Yoabu aliongoza mashambulizi ya kuitwaa Yerusalemu kutoka kwa wayebusi wakati ambapo Daudi alisita.

Yoabu alikomesha uasi wa Sheba kwa kukukusanya jeshi kwa haraka na kumfukuzia Sheba.

Yoabu alikuwa mwiba mchungu kwa wafilisti.
 
Kila ubaya utalipwa,

Mfalme DAUDI alimpa maelekezo Gani mfalme Suleiman alipomkabidhi KITI?

King Solomon alikomesha wahuni wote walomsumbua DAVID, na baada ya KAZI hiyo safi,

Tunaambiwa chokochoko zote ziliisha na AMANI,HAKI na MAENDELEO vilistawi ktk Nchi.

Naamini yupo aliyepewa maelekezo na waasisi juu ya wahuni ktk Kampuni yetu,

Aamen.
 
Yoabu aliongoza mashambulizi ya kuitwaa Yerusalemu kutoka kwa wayebusi wakati ambapo Daudi alisita.

Yoabu alikomesha uasi wa Sheba kwa kukukusanya jeshi kwa haraka na kumfukuzia Sheba.

Yoabu alikuwa mwiba mchungu kwa wafilisti.
Kweli kabisa
 
Usisabah kuelezea mwisho wa Yoabu ulikuwaje
 
Hizi verse za bible ulizozinukuu haziendani na unachotaka kulinganisha na Tanzania. It's totally vague
 
Huwezi kupata scenario inayokwenda kama kisa kizima ulivyokiweka wewe. Ila kuna matendo Moja Moja yanaendana na matukio ambayo tumeyaona nchini.
Najua wewe ni msomaji mzuri asante kwa kuelewa
 
Sema Yoabu alikuwa mwamba sana. Absalomu na Abneli walikuwa maSnitch na Snitch malipo yake ni kifo.
 
Mr G'tax unakubali kuwa sisi wafrika ndio wenye hulka mbaya? Sasa hizo hulka mbaya zimeruhusiwa kuwepo kutokana na loopeholes za katiba za Nchi zetu za Afrika.
Siyo kweli, acha uongo bwana.... Hulka ya mtu na katiba wapi na wapi
 
Usinitch wa Absalom ni Upi? Na Abneli ni Upi?
Usinitch wa Absalom ni Upi? Na Abneli ni Upi?
Hujui kama Absalomu alijaribu kumpindua baba yake Daudi kwenye Ufalme. Sio kumpindua tu alifanya hadi mpango wa kumuua ikashindikana. Mpaka ikafikia stage akalala na mama zake wadogo (wake wa Daudi). Haohao kina Yoabu ndio wakapambana kuhakikisha Daudi anabakia kuwa mfalme.

Mwisho wa siku Daudi anataka kuleta mambo ya kumsamehe Snitch. Kongole kwa Mwamba Absalomu alimuulia mbali.

Usnitch wa Abneli unajulikana pia unaweza kuusoma kwenye maandiko.
 
Lakini Baba yake alimsamehe kwanini Yoabu anakuwa na kimbele mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…