Je, Tanzania ni taifa la kidini?

Je, Tanzania ni taifa la kidini?

Dini ni nini hadi tuseme fulani hana dini??
IMG_20221204_190907.jpg

Nadhani wikipedia itakuwa imekupa jibu sahihi kabisa kutokana na swali ulilo uliza.

Tuzingatie mada husika tusitoke nje ya mada kwa mafundisho yasiyo ya lazima.
 
View attachment 2435841
Nadhani wikipedia itakuwa imekupa jibu sahihi kabisa kutokana na swali ulilo uliza.

Tuzingatie mada husika tusitoke nje ya mada kwa mafundisho yasiyo ya lazima.

Kulingana na definition hiyo kuhusu dini maana yake ni; hakuna mtu asiyekuwa na dini duniani isipokuwa tu definition hiyo inaonyesha uwezekano wa kuwepo kwa dini mbalimbali miongoni mwa watu.

Hivyo, mtu hawezi kukataa dini moja kwa moja ila tu anaweza kukataa mafundisho ya dini isiyomuhusu.
 
Nadhani umeielewa zaidi maana kutoka wikipedia.
 
Sawa, lakini kwa definition hiyo hakuna mtu asiyekuwa na Dini, mtu anaweza kudai kwamba hana Dini lakini haiwezekani akakosa dini.
 
Anhaa kama umekili mwenyewe kuielewa maana kutoka wikipedia basi ni jambo jema.

Asante kwa ushiriki wako katika hii mada.
 
Uislamu na Ukristo ndio dini kuu nchini.Mfano shughuli zipi.
Mikutano mbalimbali ya serikali ina jumuisha sala na maombi ya hizi dini kuu mbili, wakati huo serikali imejitanabaisha kuwa haina dini.

Kwa nini maswala ya kidini yaingizwe kwenye shughuli za kiserikali ? Kuna umuhimu gani wa kufanya hivyo ?
 
Serikali haina dini lakini watu wake Wana dini.
Watu wake ndio uleta muunganiko wa serikali na dini.
Dini ushughulika na watu kiroho na serikali ushughulika na watu kimwili.
Na mwanadamu ni muunganiko wa roho na mwili huwezi tenganisha.
 
Hujajibu swali langu nililo kuuliza, zingatia swali langu nililo kuuliza limesema nini ?
 
Serikali inapaswa kujiweka mbali kabisa na kueneza dini kwa mustakabali ulio bora wa taifa .
 
Back
Top Bottom