Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2435841
Nadhani wikipedia itakuwa imekupa jibu sahihi kabisa kutokana na swali ulilo uliza.
Tuzingatie mada husika tusitoke nje ya mada kwa mafundisho yasiyo ya lazima.
Nadhani umeielewa zaidi maana kutoka wikipedia.Kulingana na definition hiyo kuhusu dini maana yake ni; hakuna mtu asiyekuwa na dini duniani isipokuwa tu definition hiyo inaonyesha uwezekano wa kuwepo kwa dini mbalimbali miongoni mwa watu.
Hivyo, mtu hawezi kukataa dini moja kwa moja ila tu anaweza kukataa mafundisho ya dini isiyomuhusu.
Nadhani umeielewa zaidi maana kutoka wikipedia.
Anhaa kama umekili mwenyewe kuielewa maana kutoka wikipedia basi ni jambo jema.Sawa, lakini kwa definition hiyo hakuna mtu asiyekuwa na Dini, mtu anaweza kudai kwamba hana Dini lakini haiwezekani akakosa dini.
Uislamu na Ukristo ndio dini kuu nchini.Mfano shughuli zipi.Kwa nini shughuli mbali mbali za kiserikali zina shikizwa na dini kuu mbili ukristo na uislam ?
Mikutano mbalimbali ya serikali ina jumuisha sala na maombi ya hizi dini kuu mbili, wakati huo serikali imejitanabaisha kuwa haina dini.Uislamu na Ukristo ndio dini kuu nchini.Mfano shughuli zipi.
Serikali haina dini lakini watu wake Wana dini.Mikutano mbalimbali ya serikali ina jumuisha sala na maombi ya hizi dini kuu mbili, wakati huo serikali imejitanabaisha kuwa haina dini.
Kwa nini maswala ya kidini yaingizwe kwenye shughuli za kiserikali ? Kuna umuhimu gani wa kufanya hivyo ?
Hujajibu swali langu nililo kuuliza, zingatia swali langu nililo kuuliza limesema nini ?Serikali haina dini lakini watu wake Wana dini.
Watu wake ndio uleta muunganiko wa serikali na dini.
Dini ushughulika na watu kiroho na serikali ushughulika na watu kimwili.
Na mwanadamu ni muunganiko wa roho na mwili huwezi tenganisha.