Uchaguzi 2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

Uchaguzi 2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

Hahahah
Screenshot_20200828-184339.jpg
 
Nichukue fursa hii kukuelimisha kwanza maana naona kadri siku zinavyoenda ndivyo unazidi kuachana na uweledi kwenye mambo.

TBC ni channel ya Taifa na inaendeshwa kwa kutegemea kodi za wananchi lakini mara zote TBC imekua ikiwanyima wapinzani asa CHADEMA airtime katika harakati zao za kufanya Siasa kama alivyo zuia Mwenyekiti wa CCM vyama vingine kufanya Siasa wakati CCM wakiwa wanafanya siasa kila sehem na kila wakati.

Apa ninao uhakika kua ata siku moja ukuwai kulaani na ata kuwashauri vyombo vya habari kukemea ili ingawa uliwai kuuliza kua Mwenyekiti alitoa wapi ayo mamlaka ila mwisho ukabaki kua upande wake sijui kwa nini!

Mwisho,ndugu lazma utambue kua kwasasa jamii au nchi za Kiafrika zipo kwenye second Nationalism au Modern Nationalism kwahiyo ni dhairi kua adui wa wale wanaodai Demokrasia ya kweli kwa vyovyote vile lazma atapingwa na awezi kuonewa aibu.

Kua wewe...kua wewe unacho kufikiria na kukiamini SI kua wanachotaka uwe na ukiamini.
 
Wahenga walisema unapokula na kipofu ..... ....... ...... ...... Hii ni dhahiri kabisa SACOS ya Mbowe ipo kazini. The guy is not accountable period! If they do not understand that what else will they understand?
 
Ok noted
Kikubwa nakushauri angalia usalama wa familia yako na ishi vyema na majirani zako basi

Hayo mengine ni siasa tu hayapaswi kutugawa na ndugu zetu iwe kidini au kisiasa mitaani

Pascal unazidi kupanda mbegu ya chuki kwa wafanyakazi wa Tbc mitaani kwa huu uzi wako,Wale ni wafanyakazi tu pale na watastaafu kama wengine hivyo usijaze maneno yako kuwa walikata matangazo ili kuepuka maneno ya uchochezi

Je kama tatizo ilikuwa ni network inasumbua?

Mkuu ni mara 1000 ungesema network ilikuwa inasumbua kuliko kuchochea chuki kuwa kweli walikuwa wanakata kuondoa maneno ya uchochezi

Kumbuka una watoto na ndugu na hao wana marafiki na ndugu upande wa pili

Chuki za kidini,ubaguzi ikisambaa mitaani hatutakuwa salama wote

Kumbuka tumezungukwa na wakristo na waislamu,ccm ,chedema na wasio na vyama.Kuhamasisha chochote tutapoteza kila kitu

Ya Tbc waache wenyewe waseme,usiwajaze maneno ya chuki mbele za watanzania.

Tbc ni taasisi na taasisi ina watu wanaoishi mitaani
 
Nichukue fursa hii kukuelimisha kwanza maana naona kadri siku zinavyoenda ndivyo unazidi kuachana na uweledi kwenye mambo.
TBC ni channel ya Taifa na inaendeshwa kwa kutegemea kodi za wananchi lakini mara zote TBC imekua ikiwanyima wapinzani asa CHADEMA airtime katika harakati zao za kufanya Siasa kama alivyo zuia Mwenyekiti wa CCM vyama vingine kufanya Siasa wakati CCM wakiwa wanafanya siasa kila sehem na kila wakati.
Apa ninao uhakika kua ata siku moja ukuwai kulaani na ata kuwashauri vyombo vya habari kukemea ili ingawa uliwai kuuliza kua Mwenyekiti alitoa wapi ayo mamlaka ila mwisho ukabaki kua upande wake sijui kwa nini!
Mwisho,ndugu lazma utambue kua kwasasa jamii au nchi za Kiafrika zipo kwenye second Nationalism au Modern Nationalism kwahiyo ni dhairi kua adui wa wale wanaodai Demokrasia ya kweli kwa vyovyote vile lazma atapingwa na awezi kuonewa aibu.
Kua wewe...kua wewe unacho kufikiria na kukiamini SI kua wanachotaka uwe na ukiamini.
Hapa unatetea nini? Mbowe kawafurusha Tbc kwa madai alipoaanza kuongea walikata matangazo. Je ni kweli walikata matangazo?
 
Aiseee some time huwa najiuliza kwa nini Africa? Watu kama kama nyie mnaamua kutumikia matumbo yenu tu. Mkuu simamia unachoo kiamuni acha njaaa za kijinha gao unao waabudu wengi ni wazeee sana na wanaondoka madarakani muda si mrefu. Acha njaaa
 
Pasco nilikutahadharisha siku ile ulipolewa sifa mithili ya kipanga kuwa kukubali verified username kisa sifa za kitoto ulizookota siku ile kungekugharimu!

Imagine ungejipatia kura zako 2 kawe then ungerudi hapa kama Pasco na hakuna anaekujua!!
Angalia sasa hivi unavyotumia nguvu kutaka watu wakuelewe na kujitenga na kaliba ya watu kama barbarosa, jingalao, yehodaya et al!!
 
Nyoki la chadema mbagala leo...
Hata wananchi wamekisusa hiki chama na msipobadilika chadema mtabakia viongozi pekee wa chadema....
View attachment 1550920
Nyie wajinga mmekimbilia kupiga picha mapema kabla watu hawajafika kwa wingi kwenye mkutano ndio mnakuja kujidanganya nazo hapa, wacheni utoto wenu, Chadema inawakimbiza ndio maana mnawaengua wagombea wake kwa sababu za kishamba.
 
Back
Top Bottom