Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Wewe ni dogo ujue😅Asante mdogo wangu kipenz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni dogo ujue😅Asante mdogo wangu kipenz
Jamaa itakuwa hata hajui maana gen z.
Hao ndio machawa wa ccm hawaelewi kitu just kuropoka hajui kila nchi ina hicho kizazi utakuta na yeye labda ni kizazi cha gen z ila hajielewi.
Gen z wa Tanzania wengi wao ni kama muanzisha thread wengi hawajielewi wameamua kuwa machawa
Tatizo liko moja tu kwako, hujui kuwa hujui. Sina hakika kama utaelewa hata ninachosema hapa. Asiyejua kwamba hajui ni hasara kubwa katika dunia hii ya leo.Ndiyo,,kwani kuna tatizo
SawaTatizo liko moja tu kwako, hujui kuwa hujui. Sina hakika kama utaelewa hata ninachosema hapa. Asiyejua kwamba hajui ni hasara kubwa katika dunia hii ya leo.
Gen Z utake usitake wapo Tanzania na ni wengi sana. Wapo kwa sababu tu walifyatuliwa lakini uwepo wao hauna faida kwa taifa. Hawajui wanakotoka wala wanakoelekea.
Tatizo la Gen Z wa Tanzania ni kwamba wako kama wewe, wenyewe wanamini wanajua kumbe hawajui kitu. Sasa jaribu kuwakumbusha hilo, majibu ndio hayo unayoyatoa wewe.
Kama kungekuwa na uwezekana, hawa Gen Z wa Tanzania wangefutiliwa mbali kabisa katika ramani ya Tanzania kwani wanachojua kwa hakika ni kuvuta hewa, kula, kunywa na kulala.
Hongereni sana Gen Z wa Kenya na Gen Z popote pale mlipo ulimwenguni. Nyie ndio wajenzi na walinzi wa dunia ya kesho!
Nabisha aisee,,,upo gen ipiWewe ni dogo ujue😅
Kenyans should remind themselves what happened in LibyaKwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo
Jirani zetu wakenya huenda wanastahili kuwa nayo kutokana na back ground yao,,kwa sababu ukabila ni sehemu ya maisha yao ya kila siku,hata siasa zao kwa mlengo mkubwa zina chagizwa sana na ukabila
Si ajabu hata hali hiyo kufikia sasa imehamasishwa sana na ukabila,,,tukio la hivi karibuni pamoja na raisi wao kutoamua kusaini huo mswada na kutaka urejeshwe bungeni lakini bado hiyo gen z inakuja na matakwa mengine ya kutaka kumtoa raisi wao madarakani
Hapa ndipo unapojiuliza je,kuna nini nyuma ya pazia? Unapata picha kwamba kuna ajenda kubwa ambayo imejificha nyuma yake,,,je vijana wataendelea kutumika kama daraja ili wenye ajenda zao wafanikishe mpango wao?
Hapa ndipo ambapo kijana unatakiwa utumie ule msemo wa Jk "akili za kuambiwa changanya na zako" mwisho wa kunukuu.
Mpaka sasa tumeona maafa makubwa yametokea,,kuna ambao wamepoteza uhai wao na kuacha majonzi katika familia,ndugu jamaa na marafiki.
Natambua kwamba ili mabadiliko yapatikane wakati mwengine baadhi yetu inatakiwa tujitoe mhanga ili kizazi kijacho kifurahie matunda yetu kama ambavyo wafanyakazi wa viwandani zamani walivyojitoa mhanga mpaka leo haki za wafanyakazi zinatambulika na kuheshimika kimataifa.
Kwanini nasema Tanzania hatuhitaji gen z? Kwasababu ukitaka kujifunza mambo kutoka kwa watu basi jifunze kupitia makosa yao,,kwani utapata kujifunza kuyaepuka makosa yao na kufuata yale ambayo yataleta tija zaidi .
Yaliyotokea kwa wenzetu tumeyaona tena sio mara ya kwanza,tuliwahi kuona vurugu kama hizi miaka ya nyuma na maafa mengi yalitokea, je nasi tunataka maafa kama hayo kwa kivuli cha gen z?
Hapana Tanzani tuna namna yetu ya kudili na mambo yetu,,kikubwa tutumie nguvu ya ballot box kuonyesha malengo yetu ni nini? Na pili ni kupaza sauti na kukosoa serikali kwa ustaarabu pale inapo bidi,,huu ndio ustaarabu wa taifa letu pendwa
Tusidhani kuingia barabarani na kuvunja amani ya nchi njia pekee ya kutatua kero zetu,,na siku zote njia ya mazumgumzo ndio njia muafaka katika kufikia maelewano,,wewe angalia hata katika historia,watu watanyanyua mitutu lakini mwisho wa siku watakaa mezani na kuyazungumza. Je kuna haja gani ya kuanzisha vurugu na kupata athari kubwa kisha baadae ndio tuje kuzungumza?
Mwisho Viongozi wa nchi hii,yanayo tokea kwa majirani nadhani mnayaona,,msingoje ikatokea gen z kama ya wenzetu ndio mje kusema lau tungejua,,nikiwa kama mtu aliye somea Sayansi ya Siasa nafahamu kwamba Kiongozi anatakiwa kunusa viashiria vya migogoro vikiwa katika hatua ya mwanzo kabisa kabla havijawa vikubwa na kuwa bomu ambalo kulishughulikia itachukua nguvu kubwa sana.
Viashiria tayar vipo hapa nchini kwetu tena vingi tu,basi tusiwe vyura kwani itafika kipindi watu watachoka na watasema kama mbwai mbwai,,sipendi tufikie huko,,hii nchi ni kisiwa cha amani na utulivu basi na iwe hivyo siku zote.
Gracias
Ni hayo tu!
Gen XNabisha aisee,,,upo gen ipi
Bandiko refu hamna content ya maanaKwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo

Nimeipenda hiiSabato ya Leo ni kuliombea taifa letu tusifike huko walikofika Wenzetu
Watoto wanawaongoza Wakubwa, hatari sana 🐼
Nawatakia Sabato Njema 😄
Sikupataga notification mpendwa,,,anyways huenda tupo sawa au umenipita kidogo sana,,uwe na siku njemaGen X
Wanaopeleka watu huko ni watawala kwa ajili ya faida ya matumbo yao na watoto wao. Ukiwashauri au kuwakosoa utasikia wewe ni Chadema au wewe ni CUF au utapewa chama chochote Cha upinzani. Wanaamini wasiojitambua wako CCM. Kwa mfano Mpina wameshamuweka kwenye kundi hilo kisa anahoji mambo magumu mpaka wanaongeza vipengere visivyokuwapo vya kanuni ili ahukumiwe vikao 15 angalau kelele zake zitapungua wanataka wabunge kama Abood na wengine. Wanaochangia mwaka mzima mara 2 au 3 tuwakatae! Ndiyo maana Morogoro ya mwaka 2000 mpaka leo Chanzo ni kile kile Cha maji Bwawa la Mindu bila kujali ongezeko la watu. Area six maji mara moja kwa wiki tena wakati mwingine usiku wa manane ukipishana nayo utakutana nayo wiki ijayo.Kwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo