Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Imekuwaje Mpwa ni Paymaster General, hili haliongelei kabisa.Magufuli anachagua hoja nyepesi anazijibu, hoja nzito hawezi jibu.
Mfano. Mafao na Fao la kujitoa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuwaje Mpwa ni Paymaster General, hili haliongelei kabisa.Magufuli anachagua hoja nyepesi anazijibu, hoja nzito hawezi jibu.
Mfano. Mafao na Fao la kujitoa...
Soko la korosho limesingiziwa korona, mzee fix yule.Akijibu hata moja kati ya hayo maswali kampeni itakuwa imeishia hapo hapo,atalikoroga zaidi.Kwamba fao la kujitoa liliondolewa kwa kuwa fedha hazipo baada ya kukopwa na wasiohusika(wasio wanachama wa mifuko).
Kazi inaendelea tulia.Ni muda sasa Rais akihutubia bila kusikia neno "viwanda" kama ilivyokua kawaida yake
Na pia hakuna update yoyote ya viwanda vinavyojengwa
Labda niwaambie kitu tu nchi kuwa ya kiviwanda mnatakiwa muwe na viwanda kama utitiri yaani vya kutosha mfano kwa ukubwa wa Tanzania na watu wake ili kufikia uchumi wa kati tunapaswa tuwe na angalau viwanda laki mbili au laki tatu
Sasa hivi naskia nchi nzima viwanda vikubwa havifiki hata mia sasa hii ndo nini?
Labda niulize zile "ndaru" zilizokua zikurindima humu ndani na vijana wa lumumba wakibebea bango kwamba ni "viwanda" viwanda" yameishia wapi? Sasa hivi kwaya ni "mandege mandege"sasa hayo mapesa ya kununulia mandege si ingetosha kujenga viwanda vikubwa kila mkoa na itoe ajira za watu hata 50000 kwa kila mkoa??
Okay nirudi kwenye swali: Tanzania ya viwanda imeishia wapi???
Imekuwa Tanzania ya kutekana na kushambuliana kwa mapangaNi muda sasa Rais akihutubia bila kusikia neno "viwanda" kama ilivyokua kawaida yake