Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Muheshimiwa Magufuli Tanzania ya viwanda uliyotuahidi iko wapi, leo kama unataka wahandisi tuliosoma kwa jasho na damu ili tupate ajira kwenye Tanzania yako uliyotuahidi itakua ya viwanda, leo unatwambia tuombe ualimu?. Kweli Magufuli?

malalamiko ya kitoto sana haya; kuwa na digrii ya Engineering siyo lazima ufanye kiwandani. Kama una uhakikia na digrii yako unaweza kuanzisha consulting business yako mwenyewe usiajiriwea na yeyote. Engineer siyo wa kufanya viwandani tu, in fact wanaofanya viwandani wengi ni mafundi mchundo, mafundi sadifu na shop floor staff ambao hawana knowledge yoyote ya engineering. Kiwanda kimoja unaweza kukuta kina injinia watatu tu ingawa kinaweza kuwa kimeamjiri watu takriban 500.

Lakini vile vile engineer anaweza kufanya kazi zozote zile kama za kisiasa, kufundisha na nyinginezo. Rais wa China sasa hivi and digrii ya Chemical Engineering; aliyemtangulia alikuwa na digrii ya Water Engineering. Comedian Mr Bean and digrii za Electrical engineering (B.Sc, M.Sc). Maprofesa wako wote na Ma-lecturer waliokufundisha kuwa Engineer wana digrii za Engineering lakini wanafundisha, hawafanyi viwandani.

mwishoni mwa 1999 kuelekea mwanazoni mwa miaka ya 2000 wakati wa Y2K kuna wanafunzi niliokuwa nimewafundisha UDSM walipograduate hawakupata kazi, ila mmoja wao tulikuwa tunawasiliana mara kwa mara wakati wote akiwa chuo. Walijiunga grupu moja wakaanzisha biashara yao ya engineering na wakaniomba niwatafutie Computer kutoka Marekani ambako nilikuwa ninaishi. Nikapata computer nne zilizokuwa zimetumika (zile za CRT screen) na kuwapelekea kupitia container za shirika fulani la kidini. Leo nii kampuni yao ni kubwa sana tena yenye mafanikio lukuki na imekuwa inatoa misaada za jamii zaidi milioni 100 kwa mwaka huku ikiwa inaajiri mainjinia wengine wengi tu karibu kila mwaka. Wana timu kubwa sana ya engineering consultancy karibu kila field ya engineering.
 
malalamiko ya kitoto sana haya; kuwa na digrii ya Engineering siyo lazima ufanye kiwandani. Kama una uhakikia na digrii yako unaweza kuanzisha consulting business yako mwenyewe usiajiriwea na yeyote. Engineer siyo wa kufanya viwandani tu, in fact wanaofanya viwandani wengi ni mafundi mchundo, mafundi sadifu na shop floor staff ambao hawana knwoledge yoyote ya engineering. Kiwanda kimoja unaweza kukuta kina injinia watatu tu ingawa kinaweza kuwa klimeamjiri watu takriban 500.

Lakini vile vile engineer anaweza kufanya kazi zozote zile kama za kisiasa, kufundisha na nyinginezo. Rais wa China sasa hivi and digirri ya Chemical Engineering; aliyemtangulia alikuwa na digrii ya Water Engineering. Comedian Mr Bean and digrii za Electrical engineering (B.Sc, M.Sc). Maprofesa wako wote na Ma-lecturer waliokufundisha kuwa Engineer wana digrii za Engineering lakini wanafundisha, hawafanyi viwandani.

mwanaoozni mwa miaka ya 2000 kuna wanafunzi niliokuwa nimewafundisha UDSM walipograduate hawakupata kazi; wakajiunga grupu moja wakaanazisha biashara yao ya engineering; wakaniomba niwatafutia Computer kutoka Marekani ambako nilikuwa ninaishi. Nikapata computer nne zilizokuwa zimetumika (zile za CRT screen) na kuwapelekea kupitia container za shirika fulani la kidini. Leo nii kampuni yao ni kubwa sana yenye mafanikio lukuki na imekuwa inatoa misaada za jamii zaidi milioni 100 kwa mwaka huku ikiwa inaajiri mainjinia wengine wengi tu karibu kila mwaka. Wana timu kubwa sana ya engineering consultancy karibu kila field ya engineering.
Kwahio nihalali mtu mwenye degree ya engineering kufundisha Secondary?. Je walimu husika wamasomo hayo wameajiriwa wote wakaisha(waliosomea ualimu)?.
 
Muheshimiwa Magufuli Tanzania ya viwanda uliyotuahidi iko wapi, leo kama unataka wahandisi tuliosoma kwa jasho na damu ili tupate ajira kwenye Tanzania yako uliyotuahidi itakua ya viwanda, leo unatwambia tuombe ualimu?. Kweli Magufuli?

Mkuu hii kitu lipo kwenye andishi gani? Ni ilani ya uchaguzi au nini? Sijaona popote ulipoelezea ni extract ya andiko gani?
 
Kwahio nihalali mtu mwenye degree ya engineering kufundisha Secondary?. Je walimu husika wamasomo hayo wameajiriwa wote wakaisha(waliosomea ualimu)?.
Kwako wewe siyo halali kwa Engineer Mr. Bean kuwa comedian? Engineering ni applied Science; engineer mzuri hawezi kushindwa kufundisha Physics na Mathematics. In fact mainjia ni waalimu wazuri sana wa masomo hayo kwani wanayapa uhalisisa wa matumizi yake katika maisha kuliko wale wanaofundisha theory tu
 
Kwa uandishi wako huu lazima uwe nawasiwasi. Tafakari kwa nini Magufuli anataka wakafundishe badala yakuwapeleka kwenye viwanda anavyojisifu kujenga, au madaraja na miundombinu kiujumla?.



Duh eti anataka apelekwe na ni muhanandisi.Yaani hujui hata kazi yako mpaka uchaguliwe.Huu mfumo wetu wa elimu una shida kubwa sana
 
Kwako wewe siyo halali kwa Engineer Mr. Bean kuwa comedian? Engineering ni applied Science; engineer mzuri hawezi kushindwa kufundiahs Physics na Mathematics.
Suali namba mbili hujajibu, ngoja nikuulize tena walimu wamasomo husika wameisha?. Wameajiriwa wote?.

Mr bean kaamua kujiajiri hakuna wakumzuia maana niutashi wake, Je hawa watakaoomba nafasi za ualimu huku wanesomea kada za uhandisi unaamini nawao utakuwa niutashi wao, au niukosefu waajira na njaa ,Ikiwa namaana hawana namna?.

Mimi binafsi nimesomea uhandisi mitambo na naofisi yangu inayodeal na consultancy of metrology, measurement solution and calibration, nikwautashi wangu niliamua kujiajiri. Je nahao wataoomba nikwautashi wao au kwa sababu kazi za engineering hamna?.
 
Duh eti anataka apelekwe na ni muhanandisi.Yaani hujui hata kazi yako mpaka uchaguliwe.Huu mfumo wetu wa elimu una shida kubwa sana
Mkuu kama vipo viwanda kwa nini asitangaze ajira za uhandisi kama alivyofanya kwenye ajira za ualimu?. Au kwa nini body ya ERB isiratibu kuwapeleka huko wahitimu wakishirikiana na private sector?. Kama kweli hivyo viwanda vipo.
 
Uliambiwa ukiwa muhandisi lazima uajiliwe nenda kafanye kile ulichofundishwa kwa vitendo tengeneza wazo ulifanyie kazi.
Hapo inawezekana umeandika hivi ukiwa unazunguka kwenye kiti cha ofisi ya serikali ulichokikalia kwa miaka kibao.
 
Kwanini? Tanzania hakuna fulsa,ngoja nikuambie jambo sisi watanzania hasa wanachuo hatujui misingi ya kufanikiwa tunawaza tu kutumia tulivyoundiwa,mwanachuo akipokea bumu kitu cha kwanza anachokiona cha maana ni flat screen,simu,na vitu vingi vya ovyo ambavyo watu wenye kufikili waliviunda,ukiwa chuo kama MTU mwenye malengo na huna makundi kupitia bumu MTU unatoka kimaisha ukiwa chuoni,watu wanapaswa kuwekeza kwenye kufikili alafu waamishie mwenye vitabu,sio kukalili mwenye vitabu kuamishia mwenye kichwani,waliofanikiwa kubuni na kutengeneza vitu vyote duniani walianzia kufikili na kubuni kwanza kabla ya kuamishia mwenye vitabu.
Wewe umebuni nini na kuanzisha nini?
 
Suali namba mbili hujajibu, ngoja nikuulize tena walimu wamasomo husika wameisha?. Wameajiriwa wote?.

Mr bean kaamua kujiajiri hakuna wakumzuia maana niutashi wake, Je hawa watakaoomba nafasi za ualimu huku wanesomea kada za uhandisi unaamini nawao utakuwa niutashi wao, au niukosefu waajira na njaa ,Ikiwa namaana hawana namna?.

Mimi binafsi nimesomea uhandisi mitambo na naofisi yangu inayodeal na consultancy of metrology, measurement solution and calibration, nikwautashi wangu niliamua kujiajiri. Je nahao wataoomba nikwautashi wao au kwa sababu kazi za engineering hamna?.
Basi hukulielewa hilo Tangazo, na siwezi kuquestion namna unavyoelewa hayo matangazao hata ya tenda. Tangazo linasema kuwa watu watakaofikiriwa kwenye nafasi hizo ni wenye sifa hizo, yaani wakiwamo hata wenye digrii za engineering. Hawakusema kuwa ni watu wa engineering tu ndio wanaotafutwa, bali wote wenye sifa hizo. Nani atakapata itategemeana kabisa na matokeo ya usaili. Ni kama umekimbilia conclusion ambayo siyo sahihi; tangazo halisema kuwa wanatafutwa waalimu lakini wawe na digrii za engineering tu. Hizo sifa nizozungushia kijani hukuziona

1599613475473.png
 
Niliwahi kuandika zamani humu kama kiwanda ni process ndefu sana ambayo huwezi kuianzishisha, kuuza ni kupata faida ndani ya miaka mitano.
 
Somo la historia:

Hitler comes to power:
In January 1933, the German president, General Field Marshal Paul von Hindenburg, finally gave way before the growing electoral success of the NSDAP, which became the country’s first political party with more than one third of the votes in 1932. He named the head of the party, Adolf Hitler, chancellor.

The latter hurried to dissolve the Reichstag, held new legislative elections, and carried out an aggressive political campaign marked by dubious negotiations, threats, and political pressure, all with the goal of enlarging his parliamentary base into an outright majority.

What followed next is HELL.
 
Hilo ka viwanda, na Fao la kujitoa POMBE hataki kuyasikia, alitufanyia utapeli 2015 Sasa ngoja nasisi tumfanyie utapeli 2020, kura Zote ni kwa kaka wataifa.
 
Back
Top Bottom