Kwanini? Tanzania hakuna fulsa,ngoja nikuambie jambo sisi watanzania hasa wanachuo hatujui misingi ya kufanikiwa tunawaza tu kutumia tulivyoundiwa,mwanachuo akipokea bumu kitu cha kwanza anachokiona cha maana ni flat screen,simu,na vitu vingi vya ovyo ambavyo watu wenye kufikili waliviunda,ukiwa chuo kama MTU mwenye malengo na huna makundi kupitia bumu MTU unatoka kimaisha ukiwa chuoni,watu wanapaswa kuwekeza kwenye kufikili alafu waamishie mwenye vitabu,sio kukalili mwenye vitabu kuamishia mwenye kichwani,waliofanikiwa kubuni na kutengeneza vitu vyote duniani walianzia kufikili na kubuni kwanza kabla ya kuamishia mwenye vitabu.