Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Akijibu hata moja kati ya hayo maswali kampeni itakuwa imeishia hapo hapo,atalikoroga zaidi.Kwamba fao la kujitoa liliondolewa kwa kuwa fedha hazipo baada ya kukopwa na wasiohusika(wasio wanachama wa mifuko).
Soko la korosho limesingiziwa korona, mzee fix yule.
 
Unaishi Tanzania ipi?

Je, wakati nchi za viwanda bado ziko kwenye "lockdown" bidhaa muhimu unapata wapi!
 
Katika kipindi cha miaka yote minne ya utawala wa serikali ya awamu ya tano viongozi wakuu walikuwa bize kufungua viwanda mbalimbali nchini. Tumeambiwa Tanzania ya viwanda imefungua maelfu ya viwanda tangu 2016

Jambo la kushangaza siisikii tena sera ya viwanda kama mafanikio ya serikali hii na kuahidi viwanda vingi zaidi.

Je, sera ya viwanda bado ipo au imejifia?
 
Nimefatilia hotuba mwanzo mwisho sijasikia neno kiwanda....

Aliahidi tanzania yake itakua ni ya viwanda ila nimeona kimya
 
Sijalisikia neno viwanda tena

Nakumbuka wimbo ulikua ni tanzania ya viwanda.

Tanzania ya magufuli itakua ni tz ya viwanda sasa vipi tena sasa hivi naona kimya ndugu zangu.

Sera ya viwanda ndo imekufa?

Simsikii rais akizungumzia tena suala la viwanda

Kulikoni?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kazi inaendelea tulia.
 
Imekuwa Tanzania ya kutekana na kushambuliana kwa mapanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…