Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Tunanunua ndege kwanza badae tutarudi na viwanda.
 
Ndo ukubali kweli Charles mwijage alikuwa propagandist maana aliweza kueneza hiyo slogan katika vichwa vya watanzania, sasa tangia apumzishwe umeisikia wapi Tanzania ya viwanda!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndaru Ni mboga sio?😂😂😂 kwa mara ya kwanza leo umeandika kwa kutumia akili 👏👏👏
 
Hahaha chadema bhana, hata maana ya viwanda hamuelewi? Ukishawahi kusikia wakisema ,,the airline industry?”

Ahahahahahaha ndege mkuu nazo ndo viwanda vyenyewe ahahahahaha nadhani kwa jinsi ulivyosema chadema inainekana ndo vjina wa ccm mliooewa kaz machuoni mshambulie kwenye mitandao we utakua mwl nyerere we una akili ndo sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tulete kwanza, ndege.....kila mmachinga na mkulima awe na I'd.
 
Hahaha chadema bhana, hata maana ya viwanda hamuelewi? Ukishawahi kusikia kitu kinaitwa ,,the airline industry?” Siyo ndege tu hata hoteli pia ni kiwanda!
kwani ndege zikija tunasema tunaenda kupokea ndege au kuzindua ndege? ndege imetoka kiwandani kutengenezwa halafu ikifika tz bado inaitwa kiwanda, acheni kuhamisha magoli kwahyo SGR nayo ni kiwanda?
 
kwani ndege zikija tunasema tunaenda kupokea ndege au kuzindua ndege? ndege imetoka kiwandani kutengenezwa halafu ikifika tz bado inaitwa kiwanda, acheni kuhamisha magoli kwahyo SGR nayo ni kiwanda?
Wee vipi! Ndege hizi haziwahusu mkitaka na nyie tafuteni hela zenu mnunue.
 
kwani ndege zikija tunasema tunaenda kupokea ndege au kuzindua ndege? ndege imetoka kiwandani kutengenezwa halafu ikifika tz bado inaitwa kiwanda, acheni kuhamisha magoli kwahyo SGR nayo ni kiwanda?

unaelewa maana ya ,,airline Industry?
 
Ahahahahahaha ndege mkuu nazo ndo viwanda vyenyewe ahahahahaha nadhani kwa jinsi ulivyosema chadema inainekana ndo vjina wa ccm mliooewa kaz machuoni mshambulie kwenye mitandao we utakua mwl nyerere we una akili ndo sana

Sent from my iPhone using JamiiForums

Unaelewa maana ya ,,airline Industry?”
 
Back
Top Bottom