Kwanza kabisa una maswali mazuri.
Binafsi ningependa kuachana na habari za "kila kitu". Hususan unapozidi kupanua wigo kwenda kwenye universe huko. Kuanza kuongelea "kila kitu" wakati kuna mambo mengi sana hatuyaelewi, ma singularity ya black holes yanafanya kazi vipi, ma worm holes yapo kweli au ni hesabu tu, dark energy inasababishwa na nini, dark matter ni nini, ulimwengu unavyo exoand utaendelea ku expand au utaacha, kwa nini?Tunayojua ni machache, tusiyojua ni mengi. Kwa hivyo naona kuongelea "kila kitu" ni kujimwambafy kwa hubris.
Yani hata huo ulimwengu unaousema, jina sahihi ni "the observable universe", kuna sehemu kubwa sana ya ulimwengu hata hatuwezi kuiona, na hatutaiona kamwe, kwa sababu expansion ya universe kati ya huko nabhuku ni kubwa kulikonspeed ya mwanga, kwa hivyo mwanga wa huko, electromagnetic waves za huko, habari zozoye za huko "unobservabke universe" haziwezi kutufikia kamwe, kwa mujibu wa fizikia tunayoijua leo.
Kwa nini tusianze kuongelea "vitu tunavyovijua" halafu polepole tuka branch out kuongeza wigo kadiri tunavyoongeza ujuzi? This way tutapunguza philosophizing na speculation, na tutajikita kwenye solid science zaidi.
Kuhusu maswali yako, nguvu kuu za kimsingi zipo nne. Gravity, electromagnetism. Strong nuclear force. Weak nuclear force. Pia kwenye karge scale kuna dark energy ambayo wana speculate kuwa ni the energy if space itself.
Kwa nini nguvu nyingine za asili zimetushinda kuzi control? Tunahitaji muda mrefu sana wa kusoma na ku experiment na kufanya research and development. Na hata hapo nina suspect kuna vitu vingine vina natural limit. Mfano, kwa Einstein's Relativity, kitu chochote chenye mass hakiwezi kurudi nyuma katika muda, hata ki atom kimoja, kikiwa na mass tu, kurudi nyuma katika muda inabidi kipite speed of light, na kadiri kinavyokaribia speed of light ndivyo mass yake inavyozidi kuongezeka na kukaribia infinity mass, which needs infinity energy to move it anywhere at any speed. Which means evennif you use the mass of the enyire universe as your energy source, you can't move one massive hydrogen atom a Planc Scale of length at the speed of light (as opposed to yhe usual room temperature speed if 1500 m/s).
So, going back in time seems out if the question. At keast according to Einstein's Relativity.
Ni muhimu kuelewa kuwa, complex tech ya kuweza ku control nguvu za asili inachukua muda. Watu kuwa na ubongo tulionao tu tumeupata just about 300,000 years ago, which is not very far ago.
Tumejitahidi ku control hizi forces. Gravity tumeiweza, tumerusha ndege hewani na roketi mpaka zimetoka kwenye solar system (Voyager 1).
Electromagnetism ndiyo huu umeme tunautumia kwenye vyombo vyote vya umeme.
Strong nuclear force tumecheza nayo kwenye nuclear power plants na nuclear weapons.
Weak nuclear force nuclear reacyors and MRI machines.
Kuna uwezekano wa kufanya mchana kuwa mchana na usiku usiingie?
Wachina washaanza kazi ya kutengeneza prototyoe ya artificial sun kwa sababu ya kuwapa energy, wamejipa goal kumaliza by 2035. Its not going to be as full of energy as the sun, but its a start.
In a way tulivyoanza kutengeneza taa za umeme tulianza hii safari ya kubadiki usiku kuwa mchana, kilichobaki ni ku scake up tu na kubotmresha teknolojia.
But do you really want to live in a world that has no night?
Kufanya chochite tujisikiacho is a complex proposition, kwa sababu kila mtu anajisikia vyake, na kutakuwa na sheria na miongozo kukataza vitu kama human cloning na vitu kama hivyo.